kwani cdm huwa wanahamasishana wapi?
Heshimu imani za watu mkuu.
We kweli utakuwa na matatizo ya ubongo, Prof, ameongelea hali halisi ya sasa ambayo mapato yanayeyuka mifukoni mwa wajanja na hakuna maendeleo yoyote wananchi wanayoyapata kutokana na rasilimali hizo............ kisha ndio aliposema kama hali ndio hiyo si bora wahgawane wote tu!! hii ni katika hali ya kusikitishwa sio kiutendaji. Wewe tuambie unafaidika nini na rasilimali za nchi hii.
Vipi hawa jamaa walihamasishana misiktini nin,
Umeonaee hawa wapenzi wa cdm hapendi ukweli! wamejaa mfumo kristo tupu! ukiwasema tu, povu kibao!
Lipumba ni jembe xana ila
watu wake ni lundenge anatema point xana, TUWASAIDIE WANACUF MAANA
WANAONA AIBU KUJITOKEZA
haaa! Haaa vibagalashia, hapa una maana gani
rorho zinawauma ehh! mlitaka viraka shia vije cdm..?! udini wa cdm kamwe hamtaviona hivo
Taifa Stars wanakula ugali na kisamvu ndio maana wanafungwa lol
Haaa! Haaa! Mama mbavu zangu kwani Ritz ni Cuf hebu nipe majina yake ya ukweli.
Hivi kwa nini Chadema na Waislam hawapatani.
kamuulize mamayako alikuzaaje?Hivi kwa nini Chadema na Waislam hawapatani.
kinacho nishangaza hapa jf watu wengi huilaumu ccm kuwa wanatugawa kwa kukiita cuf ni chama cha waislamu na cdm ni cha wakristo lakini leo wenyewe ndio wanakuwa vinara wa hizo propaganda na kutoa kauli *mara mbona naona vibarakashia vitupu*, *mara hawajamaa wamehimizana msikitini*, *mara lipumba anaelekea kusema kuwa kipengele cha dini kilikuwepo kwenye vitambulisho vya taifa india*.
Hii inathiaitisha wadini ni sisi wenyewe wala tusimlaumu mtu, wanachofanya ccm ni kutumia udhaifu wetu maajabu hata wewe leo unakwepa udini wakati ww ni kinara