Kijitonyama
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 250
- 130
Ameshauriwa na nani? Yani uhairishe safari kwa sababu vijana 10 wamebeba mabango yameandikwa "Zitto kwanza"? una kichaa?
Sikio la CCM halisikii. Mkiambiwa wezi hamsikii. Hadi mzee wa Tembo awamalize. Tukiwambia hao watu mmewatoa Mwanza...nyie CCM wenyewe, hamtaki. Sasa mshawaleta. Kwani mnadhani tunawaogopa? Wanaweza kubeba mabango hata watu wote mkiwaandalia. Swali langu kwako ni kwamba, kwa nini mnawafundisha kufanya fujo? Kwani watu kumi wakimtaka Zitto ndo kila mtu aache kufanya mkutano? Nyie ni mashabiki tu. Serikali yenu na viongozi wenu wanatia aibu duniani kote let alone nchini kwetu.
Uliona wapi kiongozi wa nchi anasafiri kila siku. Anarudu kubadirisha suti na kwenda safari nyingine. Aibu tupu. Huyo naye mtafutieni vijana wa Mwanza. Leteni Costa pale airport Dar muone....hatutahitaji mabango yenu. This time tutajiandikia.
Mlipofikia hamtaweza kudhibiti ghadhabu ya mwenyezi Mungu inayokuja. Dawa ya dhambi zenu sio mabango. Mlipofikia hata mkiacha dhambi, mlizokwishafanya zinazaliana kila kukicha.

Mkuu,
Slaa ameshauriwa aahirishe safari.
Unafikiri at this point atakubali huo ushauri ambao mwanzo aliukataa?