Ni kiongozi mkomavu,jasiri na mwenye haiba ya kuigwa na woote wanaopenda siasa za mafanikio.
Hivi nani kutoka safu ya viongozi pale CHADEMA angethubutu kuenda kigoma ktk hali tete ya kipindi hiki cha kushughulikia Mahaini ndani ya chama? Hakika DR Slaa amenifundisha siasa za kikomavu,na ninaamini amewafundisha hata wanaompinga.
Najiuliza,hivi huyo ZZK anaeutaka urais atafanikiwa kweli endapo anachekelea yanayotokea kigoma? Je,akianza kuusaka urais ataenda hadi Kaskazini kuutafuta?
Natamani ZZK aondolewe CHADEMA ili tuone na yeye aone kama CDM itakufa,vinginevyo yatampata kama yale ya Kafulila alieanza kulia na kujidai eti anawalilia wapiga kura wake