Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Huu ni Upumbavu!we ulishaambiwa hali sio mzuri na wawakilishi wako,alafu unaenda?utakufa watu wa huko ni wa maziwa makuu,kuuwa ni mambo ya kawaida.Tatizo lako Hushauriki.
 
Mkuu avatar yake ndio imenishawishi,mtoto kaumbika huyo....!!

quote_icon.png
By Fadhili PauloKwani ni mwanamke huyo?
Mkuu avatar yake ndio imenishawishi,mtoto kaumbika huyo....!!
Dr.W.Slaa likes this.


nimeona nicopy na kupaste... au account yake iko haked, au naye ashangilia mini kabaang?
 
Hii ni aibu ya Zitto, kwa hizi vurugu naamini kamati kuu walikua sahihi kumtosa zitto.!!

Acha kupandikiza chuki. Hapo Zitto anahusika vipi? Ukimchukia mtu haimaanishi kila kibaya umtupie yeye.
 
Mkutano umeisha salama licha ya jaribio la vijana wenye mabamgo kutaka kuvuruga,

Polisi walitaka kutumia nguvu kuwakamata vijana hao lakini Dr Slaa akawaomba wawache na wasogeebele watoe madukuduku yao,

Hakuna uvunjifu wa mkutano, umeisha salama kabisa!
Acha kupotosha wewe. Hii kazi ya ukuadi imekushinda
 
Kwa kweli hiyo ndo ingekuwa hekima. Hapakuwa na sababu yoyote wakati hatujasikia upande wa watuhumiwa wakijieleza. Mi naona huku ni kujaribu kumfrustrate zzk; uchokozi tu!

hapo kwenye red unaturudisha kule kule tusikokutaka, mtu kwanza au sera na mipango ya chama kwanza? Eti tumwogope Mnafiki mnene Zitto kisa tutamfrustrate.....acha hizo wewe hii sio miaka ya kumwabudu mtu. Na hata ikitokea Slaa au Mbowe wakasariti sisi tutasonga mbele hatutaogopa kuwafrustrate......
 
Binafsi sioni tatizo hata Kama yameandikwa na mtu mmoja. Katika Kila kitu au tulip kuna mtu anayejitokeza kuhamasisha au kuongoza. Nafikiri huu ni utamaduni mzuri, kwamba watu wenye hisia zao wanaruhusiwa kuzitoa bila kuvunjwa miguu au mataya. Baada ya hapo nao wasilete vurugu na waache mkutano uendelee. Je tutaendelea na ustaarabu huu kwa pande zote?
 
Huyu Slaa ni mtu gani asiyesoma alama za nyakati? Mi nadhani hawa chadema hasa hawa viongoxi 2 wa juu akili zao ni kama za zero. Watu kama haw ndo waongoze tz yani mbw naye awe pale ikulu? Kweli nyie wa tz mnaona kuna mtu mle, raisi kwa chadema sacosi hamna. Kea sasa wamebaki wenye akili zisizo na uwexo yani nishida ndani ya Sacosi.
 


MODS naamini mnawatu KASULU,wapigieni simu MUDA huu,Mpigieni Tumaini Makene mjue Ukweli huu.naomba muiache Post watu wachangie
​

Napata mashaka huenda ndio unataka kupata comments za watu zinasemaje
 
Habari kama hizi habari hazina uhakika kabisa. Maccm wako kwa gharama yoyote kukwamisha ziara ya Dr Slaa kigoma sijui faida yake Ni nini?? Ila moderators huyu aloleta hii post ya kizushi NA una kizandiki kwanini msimle burn ya milele?

Habari ni za kweli kapigwa mawe inasadikika kw vijana walikuwa wafuasi wa ccm au waliandaliwa na ccm kwani wkt mawe yanatupwa polisi hawachukua hatua mpaka baadae walipoamua kupiga mabomu ya machozi.
 
Mabasi mawili yalifika kwenye mkutano vijana kama kumi na tano wakashuka na kuanza kurusha mawe kwenye mkutano, Polisi wakaanza kurusha mabomu ya machozi na wamefanikiwa kuwakamata baadhi....
Acha uzushi wewe! Basi lililopita ni la World Vision tu na halikushusha watu. Waliokuwa wanarusha mawe ni vijana waliokuwa upande wa TRA na ndio walikuwa na mabango. Maboku ya machozi kweli yalirushwa. Uwe unasema ukweli
 
Hayo yanayomkumba Slaa Kigoma ni mwanzo tu, tutegemee hayo-hayo hata Mbowe atapokwenda Mwanza.

Chadema wakitaka salama yao wamfukuze Zitto, hii kumwacha hanging ina wa cost vibaya sana lakini hawajijui.

Mnangoja nini hamumfukuzi Zitto kwenye chama chenu cha kibaguzi? Sisi CCM tutamkaribisha na tutampa uwaziri.
 
Last edited by a moderator:
Mkutano umeisha salama licha ya jaribio la vijana wenye mabamgo kutaka kuvuruga,

Polisi walitaka kutumia nguvu kuwakamata vijana hao lakini Dr Slaa akawaomba wawache na wasogeebele watoe madukuduku yao,

Hakuna uvunjifu wa mkutano, umeisha salama kabisa!

unajindanganya mwenyewe
 
Huu ni Upumbavu!we ulishaambiwa hali sio mzuri na wawakilishi wako,alafu unaenda?utakufa watu wa huko ni wa maziwa makuu,kuuwa ni mambo ya kawaida.Tatizo lako Hushauriki.
Mkuu, nakuunga mkono. Huyu babu atakufa kifo cha kujitakia. Watu wataimba kosa ni la marehemu. Viongozi wa mkoa walishasema kuwa hali ya kigoma si shwari na walimshauri asifanye ziara wakati huu. Yeye kwa uroho wa fedha akang'ang'ania. Ona sasa yanayomkuta. Halafu wanajitokeza mburulaz fulani kama Yeriko Nyerere wanapindisha ukweli
 
Mkutano umeisha salama licha ya jaribio la vijana wenye mabamgo kutaka kuvuruga,

Polisi walitaka kutumia nguvu kuwakamata vijana hao lakini Dr Slaa akawaomba wawache na wasogeebele watoe madukuduku yao,

Hakuna uvunjifu wa mkutano, umeisha salama kabisa!
...........tunashukuru kwa taarifa hizo,ila tunaomba picha ili wanaosubiria kupata habri mbaya waone..
 
Back
Top Bottom