Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

Usikute mtoa mada ..anatoa number za mitandao yote adi za smart +muito 1 na mgegedano na ata asumbui [HASHTAG]#usiwadangaye[/HASHTAG] wenzio bundle ni letu dk ni zetu wacha watoe number
 
Uko kote mbali, muombe pesa uone
Njoo kwangu mm naanza na kutoa hela, km naweza nika beti game arsenal na chelsea, ni kampa ushindi arsenal kwa zaidi ya laki, nishindwa kwa mtu ambae hela kwanza ndio mazungumzo...
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
Afu msipoolewaa mnalalamikaa,,,hujielew wew
 
Sisi tumeupokea Asante sana tutaufanyia kazi maana wanakera mnoo naanza na size ya sidiria
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
We usipotoshe wenzako wakakaa nyumbani na kuoza kama nyanya.. huo msimamo wako
 
Mleta maada ni single maza,

Inaonekana kazalishwa na wanaume watatu,

Unaonekana una msongo wa mawazo sana ,

Kwa akili zako za kijinga hivi utazalishwa mpaka watoto sita na watakuacha nao
Huyu masai wa mjin mwache tu
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
nimekimbili post yako na kiherehere changu nikadhani una bonge la point, kumbe pumba tupu.
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
Nipe TiGo hiyo acha uchoyo.
 
Back
Top Bottom