Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
Tunaomba namba ili turahisishe jinsi ya kukutana. Kwa mfano nimekutana na ww kwny daladala ntaanza kukupiga sound hapohapo??. Jitahidini kufikiri kwa kina kabla hamjabandika nyuzi
 
Its not that complicated.

If he doesn't tickle your fancy simply say a polite NO and walk away.
Saying no dont help.In the beginning I tried to say no but the men were more ving'ang'anizi.Ukikataa kutoa namba wanasumbua kwelikweli.
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
Ahsante sana umeniepusha na mizunga
 
Wewe endelea kuringa ringa wakati wenzako wanaolewa kila siku! Wewe unayewaona wanaume wabaya, utaishia kuzeekea kwa wazazi wako... Kuombwa namba ni opportunity, ni kismart kuwa unapendeka na unaonwa...
 
Kuna watu humu pia kazi yao kuomba namba tu ukimpa namba kazi yake kukusalimia tu mambo,mambo,,yaan mpaka unachoka kujibu lo
 
Wanawake msisikilize ushauri wa mtoa maada..
Anawadanganya..
La sivyo mtaishia kuwa ma single mother...
Maana hao madomozege mnaowazingua sasa hivi ndo wanaume watulivu..
Hao wepesi wa kutongoza ndo wanawatumia na kuwa dump...

Akili za kuambiwa changanya na zako...

Kwanza mtoma maada njoo pm tuyajenge
Ukianza kuchanganyikiwa mapema hivi mwaka mpya mwaka wote utakuwa chizi!
 
Wewe endelea kuringa ringa wakati wenzako wanaolewa kila siku! Wewe unayewaona wanaume wabaya, utaishia kuzeekea kwa wazazi wako... Kuombwa namba ni opportunity, ni kismart kuwa unapendeka na unaonwa...
Hizo ndizo rhetoric zenu za kijinga.
 
Acha kudanganya wenzio we si ushampata wako wa maisha ww, waache na wenzio wawapate wenza wao
 
Mmh. Kuna umri na umri kina sie wala sio kuanza kuhangaika kufikiria saizi ya kiuno, unamwambia mtu kwa lugha laini kabisa na atajiondokea zake bila hata hasira na huku namba hakuipata.

Hivyo kuanza kumtajia namba ya kiatu ni kumfanya kesho arudi tena.
Wise response...good.
 
Ikifika miaka 30 unasema mara oooohh cjabahatika kumbe chance unazipoteza toa namba huwez juwa
 
Back
Top Bottom