Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Mtoa mada ni mbinafsi sanaSiungi mkono hoja.
Mtoa mada ni mbinafsi sanaSiungi mkono hoja.
Minamba yote iliyojaa shogaa hapa mjini kweli umnyime MTU mwe,[emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi minguzo ya umeme ina minamba,we unampa tuu akafie nayo mbele,.tena utapanguza long conversion ukimpa kila MTU na mishe zake mpaka aje kugundua ni namba ya kwenye mpapai ni too late,.Hahahaa. Kwa nini sasa shoga angu?
Mbona mi ata hizo za betri ukunipaMm ukiniomba namba ya simu nafungua simu Kwa nyuma ukitoa betri kuna namba za simu naaandika nakupaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nipe namba zako tafadhali...Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
Kwanza ataona hujala siku nzima[emoji23] ukimpa namba ya kiuno au ya kiatuMmh. Kuna umri na umri kina sie wala sio kuanza kuhangaika kufikiria saizi ya kiuno, unamwambia mtu kwa lugha laini kabisa na atajiondokea zake bila hata hasira na huku namba hakuipata.
Hivyo kuanza kumtajia namba ya kiatu ni kumfanya kesho arudi tena.
Tena sanaaaMtoa mada ni mbinafsi sana
Njoo uchukue jaman sitakunyima tenaMbona mi ata hizo za betri ukunipa
[emoji12] [emoji12] [emoji23]hii ya mezani!,
naomba namba ya simu ya kiganjani, inayoshinda ikiangaliana na macho yako mazuri ikipapaswa kwa upolena vidole vyako laini, nahisi nikikuambia nakupenda kupitia simu hiyo huta nipiga kalenda.
Nan kamfundishaaaMwanangu wa darasa la pili ndyo huwa anafanya ivyo
Acha wairoge tuu hiyoUsitoe namba ovyo mchumba wengine humu ni wachawi
Kwan namba ya simu ni ipii jamanAnasema wewe hapo
Hahahaaa. Saa nyingine pia anaweza jua hazikutoshi. HahaaKwanza ataona hujala siku nzima[emoji23] ukimpa namba ya kiuno au ya kiatu
Hapo sasa,we unampa tuu namba zako kumi za bahati akabetie,baaasiHahahaaa. Saa nyingine pia anaweza jua hazikutoshi. Hahahahaaa.
Namba ya simu ina tarakimu 10 we unamtajia mbili duuh. Kama sio kutiana hasira na kuogelea matusi ni nini?
0673618874Naomba ile yako ya tigo
Ngojea hapahapaNipe ile yenyewe yako niione kidogo
Alafu unaweza kuta ni zilipendwa ata no haombwiTena sanaaa