Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

Yaani kwa mara ya kwanza umekutana na mrembo uanze kumwaga sounds/tongozo huo ni ujinga kwa mwanaume anajielewa.Hata kwa mwanamke mumekutana for first time tena kwa bahati mbaya ukitongozwa lazima uhisi vibaya na utahisi amekuona Malaya lakini inategemea na unavyojiweka ke kama uko hovyo utatongozwa na kwenda kuliwa mzigo.
Namba ni njia bora ya kumpa mwanamke heshima
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
Tabia ya kizamani sana hii, na ni ya watu wasiostaarabika.

Kwa technology ilipofikia kutoa namba ni jambo la kawaida sana. Kwanza mtu mpaka kukuomba namba huws tayari kuna mazungumzo fulani mmeshafanya hata kama ni mafupi. Mtu hakurupuki kukuomba namba baada ya kukuona tu barabarani!!!
Hivyo, kwa mazungumzo hayo mafupi utakuwa umejua nia. Na kama hutaki kabisa mahusiano kataa kutoa namba kistaarabu, kwasababu kutongozwa si jambo baya,mwanamke uliyekamilika lazima kwa wiki walau utongozwe mara tatu.

Pia usikimbilie kukataa kutoa namba kwa kudhani humtaki mwanaume huyo. Huenda akajieleza vema ukajakumuelewa.

Majibu ya namba za kiuono, viatu, ni uhuni mtupu!
 
Wanawake msisikilize ushauri wa mtoa maada..
Anawadanganya..
La sivyo mtaishia kuwa ma single mother...
Maana hao madomozege mnaowazingua sasa hivi ndo wanaume watulivu..
Hao wepesi wa kutongoza ndo wanawatumia na kuwa dump...

Akili za kuambiwa changanya na zako...

Kwanza mtoma maada njoo pm tuyajenge
wewe ni Asante Kwasi
 
Mabwege sana nyie mkifika uzee mdio mnaanz kulilia ndoa, hadi wengine wanaomba iwekwe sheria,,,,
 
atakutongozaje Bila kuweka appointment? na namba za simu ukiombwa sio kwamba unatongozwa bibie wengine wanahitaji urafiki wa kawaida acha fikra potofu and wake up
 
Kutongozana face to face kwa mtu ambaye hamjafahamiana kabisa hakika zilipendwa hizo. Teknolojia imekuwa na inaruhusu kupeana namba au email na kujuana zaidi. Pili kumtongoza binti kwa Mara ya kwanza face to face ni kumshushia heshima na dharau.
Binti usikubali mwanaume akuite mtaani na hapo hapo anaanza kukutongoza , ni kakudharau sana na huna hadhi. Mwanaume anakuitaji basi mpe namba , kwa muda wake atakutafuta na kusema shida zake. Ni wewe tu utaamua kunyoa au kusuka.
Ushauri wa kilocal sana umetoa ndugu
[emoji122][emoji122]
 
Hakika katika maisha yako umewahi kulala na shamba boy au mwanaume wa jamii hiyo.
 
Zama zimebadilika sio kila homa ni malaria.
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
Tia namba mama,mzungu mchawi
 
Kwa kuwa umekosa jogoo wako, unataka na wenzio wakose majogoo?? Imekula kwako.
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
Ukifikisha miaka 30,mwenyewe utabandika tangazo la kuuza askirimu na maziwa.
 
Mtoa mada ushazeeka waache wenzako. Itakua walikutenda wewe
 
hapa ndo wanawake mnapokosa akili na mnashndwa kujiongeza

practice make perfect
ukielewa hio kauli mtaacha kuchezewa mm mpaka sasa najua kutongoza mdomon nimejawa na sumu za nyoka koboko ni kwa sababu nimetongoza mno hao madomo zege mnaowadharau ndo wangekuja kuwaoa

mko radhi muwapige chini mtu kisa hajakuambia maneno matamu hua naeaonea huruma sana

anyway nyinyi wabanieni sie tuendelee kubamiza papuchi zenu hzo
 
Usipotongozwa mwaka mzima utaenda kwa babu akutoe mikosi?
 
Njoo kwangu mm naanza na kutoa hela, km naweza nika beti game arsenal na chelsea, ni kampa ushindi arsenal kwa zaidi ya laki, nishindwa kwa mtu ambae hela kwanza ndio mazungumzo...
Ahaaaaaaa kumbe pesa zenyewe za kubet???? Duh
 
Back
Top Bottom