luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Ila mkuu sijawahi kukuomba?? Ati???Hamnanga mawazo mengine zaidi ya kuomba hela
Ila mkuu sijawahi kukuomba?? Ati???Hamnanga mawazo mengine zaidi ya kuomba hela
Cha laki 5Labda kiwe kizinga cha nyuklia
Huwez kuniomba hela wakati hatufahamianIla mkuu sijawahi kukuomba?? Ati???
Flat screen ila matata balaauko kote mbali,umpe pesa chura ipo?
Utanifanyaje? Utaniroga?Hutaki kuombwa namba kitu kidogo tu, unataka kuombwa nini?
Ukiomba pesa wengine tunakupa, sasa ole wako unikimbie!
Hapo lazima mtu alale mbeleCha laki 5
Hata kama nakufaham siweziHuwez kuniomba hela wakati hatufahamian
PoaHata kama nakufaham siwezi
You are a wise Woman. Yes you are....Its not that complicated.
If he doesn't tickle your fancy simply say a polite NO and walk away.
Mbona Mimi huku Fanya hivyoMm ukiniomba namba ya simu nafungua simu Kwa nyuma ukitoa betri kuna namba za simu naaandika nakupaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]