Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Hivi mkuu una matatizo au? Hakuna picha nyingine zaidi ya hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani tangia page ya kwanza picha ni hii tu ya Muleba [emoji23][emoji23][emoji23]

Aya Siha hii hapa.. Fananisha na vumbi la MulebaView attachment 1008322View attachment 1008323View attachment 1008324View attachment 1008325View attachment 1008326View attachment 1008327

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha jamaa kapoteana yaan siha utadhan ulaya hapo hujaingia hai,rombo,moshi mjini,vijijin
Duh Kilimanjaro ni next level vipicha vyake vya vumbi vya muleba kwishaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuu unaugua pepopunda?
Yaan siha DC ikusanye laki nane? Hakuna wilaya yoyote tz inakusanya kitu hicho hebu soma vizur milion 800 ni laki 8? Kumbe nyie sio tu ni maskini wa Mali Bali akili ? Hivi kwa akili Yako wilaya ikusanye laki 8 imekuwa Kijiji?
Mi naona kama laki nane hiyo siha inabidi isiwe hata wilaya irudi kuwa kijiji tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu Kwanza linganisha mapato ya muleba na siha siha inakusana sijui laki nane? Duu ndo ulinganishe na muleba kitovu cha ndizi tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaugua pepopunda sii bure wilaya ikusanye laki 8 imekuwa Kijiji? Siha ni kawilaya kadogo kanaikusanya mamilion muleba liwilaya likuubwa lkn nchi kavu na majini lkn robo ya mwisho ya mwaka Jana ilikuwa halmashauri ya mwisho kwa ukusanyaji mapato siha unaona ilivyojengeka?
Alafu muleba sio kitovu Cha ndiz asilimia kubwa ya muleba ni mapori na miamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check kamkoa ka kagera kalivyo maskini duuh
FB_IMG_15020060897734219.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na nauli kuwa kubwa kutoka bukoba Hadi dar.lakini ndo route ndefu ya ndege yenye abiria wengi.una ubavu gani kusema wahaya hawana hela wakati wanasafiri Kwa ndege kuliko watanzania wote.waziri kamwene amesema uwanja wa bukoba inabidi upanuliwe Kwa sababu ya wingi WA abiria.wahaya wakiacha kusafir shirika la ndege linaweza kufa kabisa.wanataka hata ndege za abiria 270 zitue bukoba maana abiria ni wengi mno . luambo makadi usiongee Kwa chuki Tu na wivu ongea Kwa fact mi nakupa fact hiyo cheki abiria walivyoongezekaView attachment 1006350

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusafiri kwa wingi kwa ndge si ndio kuna kiwango kikubwa cha matajiri...,
Wahaya wana wanapenda kuishi maisha fulahi ya show ambayo huwagharimu sana,Dar wahaya wanaongoza kwa kuishi kufahara lkn nyumbani hamna kitu.

Mkoa una abiria wengi wa kusafiri kwa ndege lkn ni mkoa wa tatu kwa umasikini Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukoba huko ndo kuna makanisa mazuri kama nini angalia hayo na bado kuna parokia kibao ya mwisho ni kituo cha hija cha kipekee tzView attachment 1008359View attachment 1008360View attachment 1008361View attachment 1008362View attachment 1008363View attachment 1008364View attachment 1008365

Sent using Jamii Forums mobile app
History inaonesha kuwa missionaries walifija Kilimanjaro baada ya Bagamoyo ambapo ilikuwa mwaka 1880 yani miaka 12 baada ya Bagamoyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa wakuu, Kilimanjaro ni mkoa wenye maajabu,watu wake Wana iq kubwa mno kielimu na kimaendeleo,ni watafutaji sana ndio maana mkoa huo ni miongon mwa mikoa iliyo vizuri kiuchumi
Naona mjadala hapo wa watu wa kagera,ukweli ni kuwa kagera hawana ubavu kabisa wa kujifananisha na Kilimanjaro huo nn ndio ukweli
Wasalaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagera wanaitwa yatima wa maendeleo..hahah
Muleba umaskini wa ajabu,muleba makaz mazuri ni 40% tu 60% ni mabovu
Huwez amini hadi Leo muleba vijiji vingi havina umeme hadi Karne hii
Mfano Kijiji Cha kabasharo,kata ya kimwani, nyakabango kata nzima vijiji 2 tu ndio Vina umeme,ukija kata ya ngenge Hakuna umeme kabisa,ukija kata ya kasharunga vijii 4 havina umeme nk
Sasa Kilimanjaro nzma ulishaona kijiji hakina umeme? Kilimanjaro umeme umeingia tangu enz za mkoloni
@fisadiku eli Nino muleba naifahamu vizuri ni hivyo mno imagine nyumba za nyasi zipo pembeni ya lami peupe si hatar?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaugua pepopunda sii bure wilaya ikusanye laki 8 imekuwa Kijiji? Siha ni kawilaya kadogo kanaikusanya mamilion muleba liwilaya likuubwa lkn nchi kavu na majini lkn robo ya mwisho ya mwaka Jana ilikuwa halmashauri ya mwisho kwa ukusanyaji mapato siha unaona ilivyojengeka?
Alafu muleba sio kitovu Cha ndiz asilimia kubwa ya muleba ni mapori na miamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu unaporomosha facts mpaka anakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoa unaongoza Kwa matambiko mwezi December Kila mwaka according to Mchungaji Dr. Peter Mitimingi.
 
Naona hujui uongealo, December wachaga walijaza mandege yote kwa mwezi mzma mfululizo mabasi yote zaidi ya 80 yanayotoka dar Moshi kwa mwezi mzma yakawa full hadi wengine wakabaki maana ilikuwa overated ndio ujue Chagas ni empire kubwa,Wale uliowaona stand manake ilikuwa too much,imagine mandege yote yalikuwa full,mabasi yote full mhaya Ana ubavu wa kwenda kwao wengi kiasi hicho? Kwanza nyie hampendi kwenu
Bukoba ni kama Lubumbashi kwenda na gar kutoka Kinshasa unatumia cku 5 Sasa ni heri kupanda ndege n'a ni % chache kuliko wasiopanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejikuta nakucheka.we Una sifa za kijinga kabisa ndo maana Ulitudanganya eti bil 7 zimejenga km 200.kawadanganye wasiojua kinachoendelea huko.kwanza wilaya ya siha uchagani inakusanya milion mia nane Kwa mwaka mzima? Mnazidiwa na biharamulo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusafiri kwa wingi kwa ndge si ndio kuna kiwango kikubwa cha matajiri...,
Wahaya wana wanapenda kuishi maisha fulahi ya show ambayo huwagharimu sana,Dar wahaya wanaongoza kwa kuishi kufahara lkn nyumbani hamna kitu.

Mkoa una abiria wengi wa kusafiri kwa ndege lkn ni mkoa wa tatu kwa umasikini Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ushamba wao inawasumbua mkuu, Moshi Ina safari 5 za ndege kila cku bukoba Ina safari 2 manake Moshi wanasafiri na ndege zaidi ya Mara 2 ya bk lkn wachaga hawana mbwembwe kinachowasumbua Hawa watu ni ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom