Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Kutoka Rwamishenye Hadi mjini Kati ni kilometa tano.hivyo ni nje ya mji ingawa pamechangamka na kujengeka mno Kwa sababu ni tarafa inayojitegemea kabisa.nadhani mtu akifika bukoba ataona Hali ya hewa ilivyobadirika kabisa sio ya joto wala baridi.hilo linasababishwa ziwa na miti .halafu hiyo hoja ya miti mbona miji yote ya Tanzania ina miti mfano Arusha hata hiyo moshi yenu kuna miti kabisa.View attachment 1008218View attachment 1008219View attachment 1008222

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii miti ya Arusha Moshi imepangiliwa kimandhari sio shagala bagala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida unaweza kupata maendeleo ukakosa mahitaji ya kisaikolojia jambo ambalo ni hatari sana.Kwa mfano, unakuwa na mtu hana muda wa kujibebisha, ukimkuta home yupo kikazi tu, havutiii, fulu majasho. Ndo mwanzo wa kuchepuka, duh

Mungu asaidie awe anakutii na kuambilika. Kama haya ni sifuri basi ishakula kwako.

So, vip haya mambo kipande hicho?
Wapo both romantic and wachapakazi,hautajuta kuoa uchagani,Ila kumpata mchaga lazma uhenye wengi hawaolewi na mtu asiye na vision za kimaendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoufanya mkoa wa kagera huonekane duni ni baadhi ya wilaya zake mfano biharamulo ( sio uhayani) Asilimia 65 ya watu wake ni maskini hata kama kuna majengo ya kifahari huko bukoba vijijini,misenyi na muleba na karagwe bado mkoa utaonekana maskini kumbuka biharamulo ndo wilaya ya pili Kwa umaskini nchini baada ya kakonko na watu wake ni walewale maana imepakana na kakonko.kuna uafadhali maana wilaya hiyo na ngara zitamegwa kupelekwa chato na kuundwa Kwa mkoa wa Rubondo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann mnawatenga wenzenu ngara, biharamulo ? Mbona sisi kule Kilimanjaro hatukuitenga same na mwanga? Japo zilikuwa nyuma tuliwapa mbinu na Sasa hivi ni tofauti kbs,ndio maana hawajatuharibia sifa nyie mmekaa kibinafs sana,same na mwanga ni upareni,ni nan asiyejua jinsi wapare wamepiga kitabu? Walau nchi nzima humkosi Mpare/ mchaga Sisi Kilimandjaro tunashikamana hatutengan ka nyie mnaowadharau wenzenu ngara bmulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umbali sio jibu sahihi wala sio hoja ya kutoa hapa .kama ni hivyo basi musoma, shinyanga ,songea,kigoma,katavi nk abiria wangekuwa wengi .Acha sifa za kijinga juzi Tu mlikuwa mnajazana kwenye vidaladala na wengine kukosa magari kabisa kwenda makwao kama mngakuwa na hela si mngapanda magari yenu binafsi just imagine watu wanakaa stendi siku tatu ni nini hii ni ubahili au umaskini ? Halafu unatuletea nauli ya laki Saba Kwa safari ya ndege kwenda bukoba na kurudi sio hela wakati mnadandia nauli za elfu ishirini Tu kwenda makwenu kamdanganye Bibi yako.kama ingekuwa Kwa bukoba kuwa maskini wangevumilia hiyo nauli ya elfu sitini kwenda na kurudi laki na ishirini lakini Kwa kuwa hela sio shida wanajaza ndege sio kama nyie mnadandia vidadala mngekuwa na hela mngekuwa na hela za kupanda ndege ndege zingeadimika sio mibus tena mibovu ya machame express na prince muro na vidaladalaView attachment 1008228View attachment 1008229

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hujui uongealo, December wachaga walijaza mandege yote kwa mwezi mzma mfululizo mabasi yote zaidi ya 80 yanayotoka dar Moshi kwa mwezi mzma yakawa full hadi wengine wakabaki maana ilikuwa overated ndio ujue Chagas ni empire kubwa,Wale uliowaona stand manake ilikuwa too much,imagine mandege yote yalikuwa full,mabasi yote full mhaya Ana ubavu wa kwenda kwao wengi kiasi hicho? Kwanza nyie hampendi kwenu
Bukoba ni kama Lubumbashi kwenda na gar kutoka Kinshasa unatumia cku 5 Sasa ni heri kupanda ndege n'a ni % chache kuliko wasiopanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina haja ya kutaja sijui matajiri nimeshakudhihirishia Kwa kutumia fact ya ndege .sidhani kama mtu anayeishi chini ya Dola moja na maskini anaweza kuaford nauli ya kutoka dar bukoba kila mara yaani laki Saba this means Asilimia kubwa ya wahaya ni matajiri .nyie mnakaa stendi siku tatu ndo mnasema matajiri? Kudandia vidaladala na kubanana kama kuku ndo utajiri huo? Uhayani ndege ndo zinaaminika sio kwamba mabasi hayapo no Bali ni hela Tu ndo zinaongea.View attachment 1008233

Sent using Jamii Forums mobile app
50% ya kampuni za mabasi zinamilikiwa na wachaga,mathalani route ya kaskazn Ina mabasi karibia 100 imagine mabasi yote yalijaa kwa mwezi mzma achilia mbali mandege yalivyojaa
Wachaga walifurika kwenda kwao ndio maana usafir ulielemewa both surface transport and aviation
Sasa wahaya mna ubavu huo? Kitendo Cha kufurika stand ni ishara ya mapesa nyie maskini wa kihaya hamna ubavu wa kwenda kwenu hivyo
Local Routes za Kilimanjaro ni Mara 5 kwa cku bk ni 2 means tunawazd kupanda ndege kwa 125% sasa nan wa kumtambia mwenzie ? Maskini bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stendi ya mkoa ndo changamoto kubwa ya mji wa bukoba lakini inajengwa mpya maeneo ya kyakairabwa km 10 nje ya mji kuelekea Uganda na itamalizika mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Itamakizika wapi wakati mnabishana wenyewe kwa wenyewe ? Niliitembelea ujenzi wake ni 10% tu wakati moshi tunajenga NYINGINE kule Ngangamfumuni ambayo itagharimu bilion 27 nyie yenu ni ya bilion 4 tu unaona jinsi mlivyo nyuma?
Na moshi tunajenga kwa ajili ya mabasi tu c unajua wachaga ndio wanaoongoza kumiliki mabasi tz?
Ile ya Sasa HIV tutaifanya ya daladala na bajaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee kumbe maendeleo mmeyapata juzi tu.. Ndio kelele zote hizo..

Moshi barabara tangia 70's huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu kinachowasumbua ni ushamba,vitu wanavyoji proud Leo wachaga walishapita huko tangu 1970's cheki hapo chini mangi mareale akiwa ikulu yake mwaka 1950 akiwa na mtoto wa malkia check mangi alivyo smart kipindi hicho wahaya wanaliwa funza huko kwao bk
FB_IMG_15465092686845742.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu unaikosea heshima muleba kabisa tulia Kwanza uone

Sent using Jamii Forums mobile app
Muleba umaskini wa ajabu,muleba makaz mazuri ni 40% tu 60% ni mabovu
Huwez amini hadi Leo muleba vijiji vingi havina umeme hadi Karne hii
Mfano Kijiji Cha kabasharo,kata ya kimwani, nyakabango kata nzima vijiji 2 tu ndio Vina umeme,ukija kata ya ngenge Hakuna umeme kabisa,ukija kata ya kasharunga vijii 4 havina umeme nk
Sasa Kilimanjaro nzma ulishaona kijiji hakina umeme? Kilimanjaro umeme umeingia tangu enz za mkoloni
@fisadiku eli Nino muleba naifahamu vizuri ni hivyo mno imagine nyumba za nyasi zipo pembeni ya lami peupe si hatar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom