Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Ni kweli kabisa wakuu, Kilimanjaro ni mkoa wenye maajabu,watu wake Wana iq kubwa mno kielimu na kimaendeleo,ni watafutaji sana ndio maana mkoa huo ni miongon mwa mikoa iliyo vizuri kiuchumi
Naona mjadala hapo wa watu wa kagera,ukweli ni kuwa kagera hawana ubavu kabisa wa kujifananisha na Kilimanjaro huo nn ndio ukweli
Wasalaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Pmj mkuu,Asante kwa ku àppreciate Kilimandjaro is next level

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejikuta nakucheka.we Una sifa za kijinga kabisa ndo maana Ulitudanganya eti bil 7 zimejenga km 200.kawadanganye wasiojua kinachoendelea huko.kwanza wilaya ya siha uchagani inakusanya milion mia nane Kwa mwaka mzima? Mnazidiwa na biharamulo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauona mkoa wako mkuu..hahaha
tapatalk_1548831865458.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni Kanisa la Kibosho ambalo ni la tatu kwa ukongwe Tanzania ambapo limejengwa 1893 likiongozwa na Kanisa la Kilema mwaka 1884 baada ya wamisionari kukanyaga Tanganyika kwa mara ya kwanza kule Bagamoyo mwaka 1868.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyu banyambara wa kihaya instanbul anakuja hapa na porojo zake eti bukoba ndio inaongoza kwa makanisa
Bk haiwez hata kuisogelea Moshi kwa makanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ant chagga au ant kilimanjaro wako njiani kuja na povu kali hapa.

Ongezea na huduma za afya kwa hospitali kila kijiji na upatikanaji wa maji safi na salama kwa wingi isipokuwa sehemu ndogo ya MWANGA walokumbatia ccm bado.
Sidhani kama kuna haja ya povu. Initiatives zinazofanywa Kilimanjaro (hata kwenye usafi wa mji) huwezi kulinganisha na mahali kama Tanga ama Dodoma. Wanajitahidi sana
 
Nimejikuta nakucheka.we Una sifa za kijinga kabisa ndo maana Ulitudanganya eti bil 7 zimejenga km 200.kawadanganye wasiojua kinachoendelea huko.kwanza wilaya ya siha uchagani inakusanya milion mia nane Kwa mwaka mzima? Mnazidiwa na biharamulo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwahiyo ni uongo kuwa vunjo tulichanga bilion 7 za kukarabati barabara zote za vijijin Jimbo Zima km 202? Unajua maana ya kukarabati?
Tuna hela sio maskini ka nyie ni sehemu Gan tz wananchi wanaweza kuchanga ma bilion hayo?
Picha zipo hapo chini za ukarabat wa barabara hizo
Kuhusu bmulo va siha
Siha inaingia kwa bimulo Mara 3 sasa unashangaa Nini? Siha ni ndogo n'a wananchi wake Wana uchumi mzuri na maisha Bora sio huko bmulo liwilaya likuubwa afu la 2 kwa umaskini non sensé
Picha za barabara za vunjo hizo
tapatalk_1548780474311.jpeg
tapatalk_1548780479608.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.

Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.

Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).

Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.

Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.

MUNGU IBARIKI KILIMANJARO


Sent using Jamii Forums mobile app
wamasai??????
 
Nimejikuta nakucheka.we Una sifa za kijinga kabisa ndo maana Ulitudanganya eti bil 7 zimejenga km 200.kawadanganye wasiojua kinachoendelea huko.kwanza wilaya ya siha uchagani inakusanya milion mia nane Kwa mwaka mzima? Mnazidiwa na biharamulo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ulisema siha inakusanya laki 8? Imekuwa tena milion 800? Unaweweseka ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni Kanisa la Kibosho ambalo ni la tatu kwa ukongwe Tanzania ambapo limejengwa 1893 likiongozwa na Kanisa la Kilema mwaka 1884 baada ya wamisionari kukanyaga Tanganyika kwa mara ya kwanza kule Bagamoyo mwaka 1868.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una research gani hii kanisa la kashozi ( alipokuwa amezikwa Kardinali Rugambwa ) limejengwa mwaka 1892 na wamisionary wa white father . halafu unatuambia ndo la tatu bongo kanisa lenyewe Hilo hapo
Screenshot_20190130-015905.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
History inaonesha kuwa missionaries walifija Kilimanjaro baada ya Bagamoyo ambapo ilikuwa mwaka 1880 yani miaka 12 baada ya Bagamoyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna route nyingi za wamisionary zilizofika bongo . bukoba walifika white fathers wakitoka Uganda.kumbuka walianzisha seminary kongwe nchini iliyotoa mapadre wa Kwanza Tanzania Rubya seminary.na kujenga makanisa kama la kashozi,bunena,Rubya,itahwa,na kagondo pamoja na mugana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom