el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,074
Kuhusu vijiji vya mkoa wa kilimanjaro vinazidi mikoa mingine sio kweli,itakuwa bado hujatembea tz nenda mkoa wa njombe japo hawajasoma but vijiji vyao vipo sawa na kilimanjaro
Mkuu kama umeamua kututukana sawa ila kulinganisha vijiji vya kilimanjaro na Njombe ni kututukana kabisa