Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Kwani hizo wilaya si za mkoa wa kagera..

Umaskini ni umaskini tuu mbona si kilimanjaro hatuzitengi wilaya nyingine.
NiNimeshakwambia Kwa nini mkoa wa kagera unaonekana maskini shida ni baadhi ya wilaya zake kama biharamulo ambayo Asilimia 65 ya wakazi wake ni maskini hebu tafuta takwimu za kiwilaya uone wilaya za wahaya zilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia shule, makanisa na hela vyote hivyo Bukoba haiwaikuti Moshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya makanisa yapo huko bukoba unaweza fikiri ni Paris .ndo makongwe zaidi na mapadre wa Kwanza watz huko Rubya na walikuwa wahaya mwaka 1917.makanisa makongwe hayo hapo na we leta ya moshi tuyaone Anza na cathedral yenyewe ilivyo mbovu. Bukoba hayo hapo
DQJar2EW0AEIx7-.jpeg
images%20(97).jpeg
images%20(86).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
ikiwa kila mkoa utafikia kiwango hicho nchi itakuwa na maendleo ya uchumi wa kati.
 
Ant chagga au ant kilimanjaro wako njiani kuja na povu kali hapa.

Ongezea na huduma za afya kwa hospitali kila kijiji na upatikanaji wa maji safi na salama kwa wingi isipokuwa sehemu ndogo ya MWANGA walokumbatia ccm bado.
Walio paita MWANGA ndiyo waliwaaribu wale wapare akili, wakashindwa kutofautisha kati MWANGA wa jua na MWANGA mchawi, sasa wanajidai wote waganga na wanaonea wivu balaa.
 
Back
Top Bottom