Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povu lilishaanza kukutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni Bukoba Mjini... Ona upuuzi huu..

Moshi Municipal hakuna barabara ya udongo hata moja mpaka za uchochoroni..

images%20(9).jpeg
images%20(10).jpeg
images%20(11).jpeg
images%20(12).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilaya nzima inakusanya hiyo hela? Halafu mnajisifisifia uongo hapa .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama una akili timamu aisee.. Juzi nimewauliza hapa hizo list mnaleta inasema Tandahimba inakusanya Billion 5 na Chalinze Billion 4 ingali Moshi inakusanya Billion 2. Je Tandahimba na Chalinze ni zaidi ya Moshi?

Nijibu hilo swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ndiyo st

hiyo ndiyo stand ya mkoa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

cheki jinsi kumepauka
Stendi ya mkoa ndo changamoto kubwa ya mji wa bukoba lakini inajengwa mpya maeneo ya kyakairabwa km 10 nje ya mji kuelekea Uganda na itamalizika mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu angalia hiyo habari hiyo chini.una ubavu gani kusema wahaya hawana hela.pamoja na kuwa route ndefu ya ndege tz abiria wanazidi kuongezeka.je bukoba kuna nini kama sio wazawa wakienda kusalimia kwao? Na je nauli hiyo wanaitoa wap pamoja na vyuma kukaza Kwa watz wengi.wahaya ndo wanalipatia atcl hela vinginevyo lingekufa kabisa bila kusahau kuna precision,auric,nk ambazo zote zinajaa na ndo zinapatia mpunga.ndo maana Magufuli alikosea Sana kuhamisha mradi wa uwanja wa kimataifa wa kajunguti kwenda chato kisiri ndo maana hata wahaya hawampendi hata kidogoView attachment 1008197View attachment 1008198

Sent using Jamii Forums mobile app
Wauza papuchi wanapanda ndege na kuzijaza mpaka safari zinaongezwa na uwanja hautoshi bado? We Una akili za ajabu kabisa.hivi majuzi hapa sinza nimekutana na Malaya watano WA kichaga tena wanaongea Ile lafudhi yenu kabisa umalaya ni tabia ya mtu sio kabila wala . Bukoba ni sehemu gan kuna umalaya upalinganishe na dar,mwanza Arusha huko sijui shilo na sehemu kibao kama Dodoma na iringa?hiyo sifa inaendekezwa na watz wenye wivu na kabila hili kubwa na lenye sifa na watu mashuhuri wengi.hata nyie wachaga kuna tabia flani watu wanaanza kuzisambaza ili kuua sifa zenu nzr mfano kuuwa waume zao wakati ni tukio moja tu.mimi mama yangu mchaga sijui nikwambieje anavyamjali mshua wangu na anavyowapenda mawifi zake . wengine mara waseme wachaga wakabila, wachoyo na mashoga( weupe uliopitiliza) nk nk hizo ni tabia zetu waafrica kutofurahia mafanikio ya watu wengine na kujifunza.ukienda bukoba ukasema wauxa sijui papuchi watakushangaa Sana .maana kule ni washika dini ndo maana hata bukoba linakaribia kuwa Jimbo kuu na taasisi za dini ni nyingi waliofika bk watashuhudia hayo.hata Hilo neno katerero huku mikoani ndo Lina maana mbaya na ni maarufu zaidi . kuliko hata bk .kule ni kijiji tena kina shule ina jina Hilo na kuna hospital inajengwa hapo katerero.na ukiwa kwenye daladala utasikia wanaoshuka katererero na wala watu hawatashangaa na kuanza kuuliza tofauti ukiongea neno Hilo huku dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu routes za ndege Wala usijilinganishe na Moshi/Kilimanjaro hata cku moja,nilishakwambia Moshi tuna local routes 5 daily achilia mbali za kimataifa wakati kagera ni 2 tu
Sasa Nan wa kumtambia mwenzie? Ww labda umtambie wa kigoma sio Kilimanjaro
Kilema ndio injini ya local routes za ndege tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wauza papuchi wanapanda ndege na kuzijaza mpaka safari zinaongezwa na uwanja hautoshi bado? We Una akili za ajabu kabisa.hivi majuzi hapa sinza nimekutana na Malaya watano WA kichaga tena wanaongea Ile lafudhi yenu kabisa umalaya ni tabia ya mtu sio kabila wala . Bukoba ni sehemu gan kuna umalaya upalinganishe na dar,mwanza Arusha huko sijui shilo na sehemu kibao kama Dodoma na iringa?hiyo sifa inaendekezwa na watz wenye wivu na kabila hili kubwa na lenye sifa na watu mashuhuri wengi.hata nyie wachaga kuna tabia flani watu wanaanza kuzisambaza ili kuua sifa zenu nzr mfano kuuwa waume zao wakati ni tukio moja tu.mimi mama yangu mchaga sijui nikwambieje anavyamjali mshua wangu na anavyowapenda mawifi zake . wengine mara waseme wachaga wakabila, wachoyo na mashoga( weupe uliopitiliza) nk nk hizo ni tabia zetu waafrica kutofurahia mafanikio ya watu wengine na kujifunza.ukienda bukoba ukasema wauxa sijui papuchi watakushangaa Sana .maana kule ni washika dini ndo maana hata bukoba linakaribia kuwa Jimbo kuu na taasisi za dini ni nyingi waliofika bk watashuhudia hayo.hata Hilo neno katerero huku mikoani ndo Lina maana mbaya na ni maarufu zaidi . kuliko hata bk .kule ni kijiji tena kina shule ina jina Hilo na kuna hospital inajengwa hapo katerero.na ukiwa kwenye daladala utasikia wanaoshuka katererero na wala watu hawatashangaa na kuanza kuuliza tofauti ukiongea neno Hilo huku dar

Sent using Jamii Forums mobile app
We mwenyewe ndio unaenenezaga hiyo propaganda mfu kuwa wanawake wachaga wanaua waume Zao kitu ambacho ni uongo mtupu ushahidi unao mwenyewe maana maman Yako mchaga je amemuua babako?
Kamwe Hakuna atakaefua dafu kwa kuleta propagande kwa wachaga,ukileta propagande unaaibika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom