[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa 260 kasahau 100Hahahahaha .....Alifeli hesabu jamani ...Hio chapati Sijui ni nyuzi ngapi
Damn, [emoji15] [emoji15] kwa style hyo uje uachike katika ndoa kweli, jamaa atakuwa anafaidi sanaZimekandika, zinavutia.
Kurasa zinaonekana, hizi ndio Chapati.
Tatizo la Chapati, hata niwe na hamu vipi nakinai mapema sana.
Nimejitahidi, basi ujue Chapati moja tu
![]()
Umeona e...Teh teh teh teh teh teh kwel chupa ya soda tena fanta. [emoji2] [emoji2]
Usinambie kama ww ni mmoja wao [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupika ni talent kama kuimba lol kama Umezaliwa hujui kupika usidhanie utajua ukifundishwa lol kuna watu wanafundishwa kila siku na wakipika wanapika madudu [emoji16] [emoji16] [emoji16],
Nafikiri inategemea Mtu na Mtu.Kupika ni talent kama kuimba lol kama Umezaliwa hujui kupika usidhanie utajua ukifundishwa lol kuna watu wanafundishwa kila siku na wakipika wanapika madudu [emoji16] [emoji16] [emoji16],
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usinambie kama ww ni mmoja wao [emoji23] [emoji23] [emoji23]