Aina gani ya kozi itamfaa huyu?

Aina gani ya kozi itamfaa huyu?

ismail hassan

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
704
Reaction score
1,650
Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo?

Nina mdogo wangu kachaguliwa

1.IAA kozi ya Accountancy in IT
2. Transport and Logistics NIT
3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE.

Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri namba moja nikaipa IAA 2.NIT na3. ya mzumbe.
 
Upo sahihi ibaki hivyo hivyo
 
Aende Uhasibu na Tehama (BAFIT) hii ni multipurpose Taasisi yoyote lanzima iwe na mhasibu na Tehama.

Akiamua kujiajiri kwenye masuala ya Tehama fresh tu.
 
Hizo zote hazina maana.
Mpeleke Veta akaanze na certificate ya umeme ama mechanical.
Kwakua mdogowako alikua na uwezo mdogo ndiomaana hakuchaguliwa vyuo vya sayansi, nashauri ufuate ushauri wangu na utakuja kunishukuru
 
Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo?

Nina mdogo wangu kachaguliwa

1.IAA kozi ya Accountancy in IT
2. Transport and Logistics NIT
3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE.

Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri namba moja nikaipa IAA 2.NIT na3. ya mzumbe.
Kwa mtazamo wangu, mpangilio wako una mantiki. IAA Accountancy in IT inaweza kumpa mchanganyiko mzuri wa accounting na IT.

NIT Transport & Logistics ni nzuri pia, hasa kama ana interest kwenye logistics na supply chain.

Mzumbe nayo ni nzuri, ila Business Administration ni pana zaidi. Mwisho wa siku aangalie zaidi uwezo na interest yake, maana kozi nzuri bila interest inaweza kuwa changamoto.
 
No.1 iyo: IAA
 
s
Hizo zote hazina maana.
Mpeleke Veta akaanze na certificate ya umeme ama mechanical.
Kwakua mdogowako alikua na uwezo mdogo ndiomaana hakuchaguliwa vyuo vya sayansi, nashauri ufuate ushauri wangu na utakuja kunishukuru
sawa mkuu😁ba
Japo hujaeleza ni ngazi gani.
Ushauri; Apige Accountancy ina ahueni hapo, kama ana maksi nzuri, anaweza kupiga BAF (Bachelor of Accounting and Finance-Mzumbe).
bachelor mkuu
 
pamoja
Kwa mtazamo wangu, mpangilio wako una mantiki. IAA Accountancy in IT inaweza kumpa mchanganyiko mzuri wa accounting na IT.

NIT Transport & Logistics ni nzuri pia, hasa kama ana interest kwenye logistics na supply chain.

Mzumbe nayo ni nzuri, ila Business Administration ni pana zaidi. Mwisho wa siku aangalie zaidi uwezo na interest yake, maana kozi nzuri bila interest inaweza kuwa changamoto.
sana mkuu
 
Back
Top Bottom