Mkoa gani huyu? Mi nahisi mchagaa huyu

Mkoa gani huyu? Mi nahisi mchagaa huyu

2668187608183e19efe67ca0be52e893.jpg

Dah hii chapati nini? Naona kama Imeliwa ikafanywa umbo la Love 😀
 
Kumbe kipimo cha upishi kwa mwanamke ni chapati? wacha nifanye udadisi
Yaani hapo ndo utajua huyo ulonae ni mpishi au mjenzi maan wengi wanashindwa Ile round na jinsi ya kuuuponda unga hadi ulainike ili chapati iwe laini mchunguze unipe mrejesho
 
Yaani hapo ndo utajua huyo ulonae ni mpishi au mjenzi maan wengi wanashindwa Ile round na jinsi ya kuuuponda unga hadi ulainike ili chapati iwe laini mchunguze unipe mrejesho
Ndo matatizo ya kutokunywa chai haya hili nilitakiwa nilijue mapema [emoji24] [emoji24] [emoji30] [emoji30]
 
Mlete WiFi aje nimfundishe lkn aje na hela siunajua usawa wenyewe huu[emoji125]
Doh namkimbia miss chagga kuhusu hela kumbe huku pia ndo yale yale[emoji124] [emoji124] [emoji124] wacha nijipange nitakuja ku negotiate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom