johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Nyinyi kwenye ndizi tu aahhh mpo vizuri ila kwenye misosi ya sisi watu wa bara hamna kitu kabisa yaanha hahaha si tunajua kupika machalari
ha haha sina la kujitetea nikae kimyaNyinyi kwenye ndizi tu aahhh mpo vizuri ila kwenye misosi ya sisi watu wa bara hamna kitu kabisa yaan
Nashukuru kwa kuwa mkweliha haha sina la kujitetea nikae kimya
Karibu tenaNashukuru kwa kuwa mkweli
Lakini mkuu si mjifunze tu mambo kama haya? ujue nyumba haikamiliki kama mke hajui kupika eeh? Mtawategemea mabeki 3 hadi lini?Karibu tena
me najifunza sasa najua kupika hadi birianiLakini mkuu si mjifunze tu mambo kama haya? ujue nyumba haikamiliki kama mke hajui kupika eeh? Mtawategemea mabeki 3 hadi lini?
Ubarikiwe kwa kujitambua,me najifunza sasa najua kupika hadi biriani
ha hahaha hayaUbarikiwe kwa kujitambua,
maana waume wengine sisi tunagubu kama nini na hii yote kwa kuwa ninajua kupika
Mkuu ukiona hvo nina experience nao.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Una chuki na Wachagga sana wewe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kajitahidi wakati unaona mapembe yamejaa???hahah kajitaid asee
A we mshana wa nini..? siunajua ninawivu billion 100000000000000000.....kaoweni tanga cheki kitu cha chapati kinavyovutia mshana Jr njoooooooooooooooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji144] [emoji125] [emoji144] [emoji125] [emoji125] [emoji125] chezea tanga weyeeeeeeee![]()
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji5]A we mshana wa nini..? siunajua ninawivu billion 100000000000000000.....
Nimeipenda hiyoo..Dah...kupika ni kazi ya kitaalam...kama udereva...daktari...urubani... ..kazi ya mke ni kumfariji mume [emoji13] [emoji13]