Mkoa gani huyu? Mi nahisi mchagaa huyu

Mkoa gani huyu? Mi nahisi mchagaa huyu

2668187608183e19efe67ca0be52e893.jpg
aiseeee yuko vzur sana, safi sana..
hawa ndo wanaohtajka...
Ni mbunifu [emoji106] ,
hakalili
bila shaka atakuwa vzur hata sekta zngne maana ameonesha ubunifu wa hali ya juu

Au chapati ni lazma iwe ya duara jamn?
m nadhan content ndo cha maana umbo ni ubunifu wako tu so anaweza tengeneza chapat ya triangle, rectangle au hata shapeless[emoji4]
 
Teh teh teh, hata triangle poa tu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nilikuwa na kademu ka kichaga naishi nacho daah kwenye misosi hayupo vzr kabisa hata kukuha nazi na kuitumia tatizo
 
aiseeee yuko vzur sana, safi sana..
hawa ndo wanaohtajka...
Ni mbunifu [emoji106] ,
hakalili
bila shaka atakuwa vzur hata sekta zngne maana ameonesha ubunifu wa hali ya juu

Au chapati ni lazma iwe ya duara jamn?
m nadhan content ndo cha maana umbo ni ubunifu wako tu so anaweza tengeneza chapat ya triangle, rectangle au hata shapeless[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] Wanaume kama nyie hamuachikagi kwwnye ndoa.
 
Zimekandika, zinavutia.

Kurasa zinaonekana, hizi ndio Chapati.

Tatizo la Chapati, hata niwe na hamu vipi nakinai mapema sana.

Nimejitahidi, basi ujue Chapati moja tu

9fc2864346749f31f199e07633dc9bb4.jpg
 
Sasa ukimwambia wali wa mauwa ama birian la nyama sindio unatoa talaka tatu kwa mpigo
 
Nna wasiwasi alisukumia Chupa ya Soda.

Mkate wa Kusukuma umekosa hadhi yake

1b7452b3b18c907f6450a37d6665a39a.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom