M'kiti wa freemasonry asema haina ubaya, no mahela

deejo

Member
Dec 19, 2011
29
7
M'kiti wa freemasonry akihojiwa na Gerald Hando wa clouds TV asema kuwa freemason hamna ubaya na hamna mahela km wengi wanavyodhani bali it's all about networking na kusaidia jamii.Kaipamba freemasonry vibaya sana na kukaribisha watu wajiunge. Ama dunia imeisha, yani mambo hadharani!
 
Hata shetani anaweza kukuambia kuwa yeye ni mfalme wa amani; sasa funguka angalia matendo yake! Utajuta kuzaliwa!
 
M'kiti wa freemasonry akihojiwa na Gerald Hando wa clouds TV asema kuwa freemason hamna ubaya na hamna mahela km wengi wanavyodhani bali it's all about networking na kusaidia jamii.Kaipamba freemasonry vibaya sana na kukaribisha watu wajiunge. Ama dunia imeisha, yani mambo hadharani!

OK...
Nikuulize swali la msingi...
Kama Mwenyekiti wa Freemason Afrika Mashariki amesema kuwa wao hawana ubaya wowote...sasa nakuomba wewe mleta mada uweke ushahidi kamili kuwa hawa jamaa ni wabaya.
Naomba uweke ubaya wao hapa ambao utaambatana na uthibitisho.
Hayo mambo ya kuja kutiatia huruma hapa na kuhitaji huruma za wenzako mnaosoma magazeti ya marangi rangi mwisho uwe leo.

Haya funguka sasa....
 
Word! Waambie hao, kila mtu anatoa madai yake kuhusu watu hawa lakini hakuna mtu aliyewahi kuleta ushahidi.
 
bado wana siri ambazo hawawezi kuziweka wazi kabisaaa sasa vetting ya nini au ndiyo sehemu ya kukuchagulia sadaka iliyo nona????
 
Huna haja ya kuwekewa nenda kajiunge, Kwani twakukataza?

QUOTE=Gang Chomba;4625284]OK...
Nikuulize swali la msingi...
Kama Mwenyekiti wa Freemason Afrika Mashariki amesema kuwa wao hawana ubaya wowote...sasa nakuomba wewe mleta mada uweke ushahidi kamili kuwa hawa jamaa ni wabaya.
Naomba uweke ubaya wao hapa ambao utaambatana na uthibitisho.
Hayo mambo ya kuja kutiatia huruma hapa na kuhitaji huruma za wenzako mnaosoma magazeti ya marangi rangi mwisho uwe leo.

Haya funguka sasa....[/QUOTE]
 
Hawa jamaa wamepata promo kubwa mwaka huu kila mtu anaimba freemason freemason hadi bibi yangu kijijini amenisihi nisijiunge fremason.NILICHEKA SANA.
 
Jueni kwamba hawa watu kujidhihirisha wazi ni every sign kwamba ile siku imekaribia i.e anti christ anaanza kazi yake.haya mambo yalikuwa siri kubwa zamani,jiulize why disclose now? Mwenye masikio na askie
 
mimi aliye niboa ni gerald hando kuuliza maswali ya kitoto na kuyarudia rudiaaaa.... si angeongea kiswahili tuu..?
 
Leteni ubaya au matendo ya kudhihirisha ushetani wa Freemason, hatutaki theory hapa!
 
Word! Waambie hao, kila mtu anatoa madai yake kuhusu watu hawa lakini hakuna mtu aliyewahi kuleta ushahidi.

sawa, na we kama kweli unawafaham freemasons, hebu nambie kwann wanasema 'once ur a freemason ur a freemason'
kuna nn hapo?
Mbona kuna watu wana badili dini bwana!
 
Kwanza Freemason sio dini.
Pili Freemason sio watu wabaya na ushahidi umetolewa na mwenyekiti wao hapa Africa Mashariki.
Sasa kama we unaujuwa ubaya wao tuthibitishie hapa na si kuleta porojo na haditthi za vijiweni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom