Daddo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,435
- 1,027
Nimekuelewa vizuri sana. Naamini kabisa wewe Mshana unajua kwamba maendeleo yanakuja gradually, kumbuka hata huko kaskazini hakuna mwananchi aliyejituma akajenga barabara yake, akajitengenezea umeme na kuunganisha kwenye grid ya taifa n.k so unaposema kwamba wananchi wa Chato wanapelekewa maendeleo wasiyokuwa na uwezo nayo ni kuwakosea heshima. Hata hiyo Kasikazini kuendelea kuna mkono wa serikali, lazima ukubali hilo. Nadhani ingekuwa vizuri sasa nawewe ukaishauri serikali kuendelea kuzifikia sehemu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa kama zimesahaulika kwa upande wa elimu, afya, miundombinu ikiwemo barabara, reli, viwanja vya ndege na michezo, umeme na huduma nyingine za kijamii ikiwemo banks, mahakama, maji safi na salama nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma na kuelewa nilichoandika lakini?
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app