Endelea kubishana na hao hao watoto Sasa, naona umesharudi kwenye ligi za mchangani.
Jitu zima baada ya kujadili mambo ya msingi unaanza kujadili upumbavu, ujinga na ubaguzi eti ukabila?
Watu wenyewe akili wako kwenye nyuzi zenye akili na maana ila wewe unashupaza shingo kubishana na watoto kuhusu ukabila na ukanda? na.
Hata uweke reference Zaidi ya mia ila unatakiwa kujua kwamba , ulichoanzisha na kuanza kujadili ni takataka na wewe pia ni takataka vile vile.
Hivyo endelea kubishana na hao watoto kuhusu hiyo takataka uliyoanzisha hadi roho yako ifurahi, nafikiri unachofikiria ni kupata ushindi wa maneno kwamba kaskazini ni watu wanaostahili kupata maendeleo kuliko makabila yote Tanzania, hivi una akili wewe?
Nimeshakuacha na ujinga wako, ila ukweli Nimekuambia hivyo endelea kubishana na Hao watoto sasa hadi ufurahi, halafu nenda Same, Mwanga na Moshi ukawasimulie ndugu zako kwamba umeshinda ushindi wa maneno JF kwamba wao kilimanjaro ndio kwenye makabila yanayostahili maendeleo yote Tanzania kuliko mikoa mingine yote, hivyo mikoa mingine nchini Tanzania haistahili kupata maendeleo.
Sipati picha watu wengine wanaotumia ubini wa mshana wanajisikiaje wakiona mtu kama wewe anatumia ubini huo kuanzisha takataka kama hiyo
Unatakiwa utumie Jina lingine hapa Jf kuliko kuwachafua mshana wenzako ambao hawakujui wala hawana hatia kwa ushenzi unaofanya wewe hapa JF,
Narudia tena Nimekuacha undelee kubishana na watoto wenzako kwenye hii takataka sababu hauna hoja ya msingi wewe mshana.
Kumbe na wewe Jamaa ni mpuuzi hivi. [emoji117][emoji117][emoji117]ni rahisi sana kuongea kuliko kuthibitisha... Unapochangia mada ya mpuuzi nawe unakuwa mpuuzi unalitambua hilo?
Jr[emoji769]
Sent using
Jamii Forums mobile app