Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,103
- 828,988
- Thread starter
- #161
OK sawa asante lakini sijui NENO kuonewa unalitoa wapi kila mara... Naona kama limekukaa mno
Jr
Kwenye huu uzi wako unataka kuwaambia watu kwamba pamoja na kwamba wanalalamika chato kupendelewa kuliko mikoa ya Kas kazini, bado hiyo miradi iliyopelekwa huko kiupendeleo, watakaoiendesha ni watu wa Kas kazini maana ndio wenye maono.
Hii si Tanznaia ya miaka ya enzi kina Mwinyi na kina Mkapa mkuu.
Akili walizonazo watu wa Kas kazini ndio walizonazo watu wa kusini, magharibi na Mashariki.
Enzi za watu wa Kas kazini kujimwambafy kila kona katika nchi hii zimeahapita mkuu. Ni ukweli unaouma na wala hamuonewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jr



