Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Kagera imepigwa vita plus majanga na matukio ndo yameishusha.


Mngepigwa na hayo majanga na kakilimanjaro kalivyo sidhani kama mngesimama kama ilivyokagera.
Mv bukoba,vita ya kagera,elnino, ukimwi,mnyauko, pamoja na Baba Lao tetemeko yote yameugusa mkoa mmoja na bila ya recovery yoyote lakin upo na umesimama mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tungepigwa na tsunami Kama akili ipo ipo tu,kumbuka maendeleo yanaanzia kwenye mindset za watu sio vitu
Ndio maana pwani Kuna vitu Ila watu hawana mindset hadi mkuranga, kisarawe bagamoyo wachaga wameinunua karibu wanamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona akili kama hizi sasa!

Na mtaendelea kulia sana.
Nawaonea huruma maana kuna jamaa mmoja yeye toka amalize chuo hajapata kazi kwa akili yake alifikiri akimaliza tu atashikwa mkono tena, yaani hataki kukubali kwamba hiyo course aliyosoma kuna watu toka kila Kabila wamesoma pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni asilimia ngapi ya wote?
Kwan Kuna kozi ambazo hatupo? Kila idara,kila pembe sisi tunawaza maendeleo wee endelea kuwaza kuchunga mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali hiyo inaondoka kwa kasi ndio maana mnahisi mnaonewa!
Hamtaki kukubali ukweli kwamba hizo fursa kila Kabila linazigombania siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamuwez kututoa maana tunaendelea kusoma tena Sana
Ingekuwa tupo wazembe tungeshatolewa kwenye njia zamani
Ndio kwanza tunaimarika
Hata kwa maendeleo, kilimanjaro ni mkoa wa pili watu wake kuishi maisha Bora baada ya dar,yaan 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora kwa sekta zote sii miundombn,maji nk
Ulishawahi sikia umeme wa REA KILIMANJARO? Ulishawahi sikia mambo ya hospital za wilaya au vituo vya afya kuzinduliwa ? Vipo toka kitambo sehemu zingine ndio neema hiyo wanaipata sahv kwahyo aliyeendelea kumshusha ni vigumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye huu uzi wako unataka kuwaambia watu kwamba pamoja na kwamba wanalalamika chato kupendelewa kuliko mikoa ya Kas kazini, bado hiyo miradi iliyopelekwa huko kiupendeleo, watakaoiendesha ni watu wa Kas kazini maana ndio wenye maono.

Hii si Tanznaia ya miaka ya enzi kina Mwinyi na kina Mkapa mkuu.

Akili walizonazo watu wa Kas kazini ndio walizonazo watu wa kusini, magharibi na Mashariki.

Enzi za watu wa Kas kazini kujimwambafy kila kona katika nchi hii zimeahapita mkuu. Ni ukweli unaouma na wala hamuonewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetangulia katangulia tu acha ubishi,tangu lini mwanafunz akamzidi mwalimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mfumo..yajayo yanafurahisha
Mtafurahi wenyewe
Ndio kwanza tuna improve
Kwa takwimu za serikali za sasa, kilimanjaro ni mkoa wa pili kwa watu wake kuwa na maisha Bora
Yaani 90% ya Wana Kilimanjaro Wana maisha Bora tunataka kufikia 100% kabisa
Kule kilimanjaro shughuli za maendeleo watu wanachangia Sana mfano vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii kitu haijawahi
TOkea popote Tanzania
Kuna mengi ya kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa ushafika Chato afu unaandika uwo upuuzi wako, nafikiri ungejishangaa sana.......jaribu kuandika kitu ulichokiona kwa macho usiwe mtu wa kusimuliwa simulizi, kama hadithi za abunuawasi.
Sasa kwa taharifa yako NMB wamejenga bonge la jengo zaidi ya CRDB na hospitali kubwa sana inajengwa km mloganzila......
Najua ayo pia ujui.....tembea na fact.....kaka
Vitu Kama hivyo kilimanjaro vipo tangu miaka ya 80's
Ulikolala ndipo wenzako walipoamkia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa but huko chato imekuwa too much asee ,msoga cyo saana alafu kikwete hakukandamiza maeneo mengine kwa kiburi na kujiskia Kama huyu meko ,jamaa namfananisha kwa mbaali na mobutu sese seko kuku ngwendu wazabanga ,,kwa mambo yake anayoyafanya
But hapa ni heri aliyenacho aingezewe tu yaani kwa kuwa Kanda ya kaskazini tulishaejielewa mapema na mind u that hatuna kibur ,next time urais utoke kaskazi Sasa ,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaskazini hamna tofauti na ziwani. Atoke kusini kama hawana wasomi atoke nyanda za juu kusini magharibi. Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Mshana, hata mzee Benjamini alifungua ukanda wa kusini kwa daraja na Barabara.Mkumbuke mzee CD, akiwa pm.Shida sisi twajiona tunajua mno.

Ndio maana tunahesabiwa katika kundi la watu wasio na furaha Duniani. Hivi kweli jirani zetu, waliotuzunguka wana furaha kweli?

Mwamba ngoma huvutia kwake,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weweee
Nenda nshamba pâle centre wachaga kibao wana maduka,pâle bukoba mjini ndio usiseme
Hakuna popote Tanzania utakosa investment ya mchaga
Kuhusu kuolewa na nshomile,washomile wanaoa Sana uchagani ili wapate akili ya kimaendeleo,huez ukaoa mchaga alafu ukakosa maendeleo
Hata kina mkapa,sumaye,warioba,bomani ni wameoa uchagani upo?


Sent using Jamii Forums mobile app
Nshamba Kuna waarabu Koko wa kihaya hakuna mchaga.

Mzee usiforce mkuu.inaonekana wahaya huwafahamu vzr na Tabia zao.

Hakuna kabila linaloweza kusurvive uhayan labda kidogo watutsi ambao nao wamejifanya wanyambo na wahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujakataa
Lakin bado ktk nyanja ya exposure au kusoma, kaskazini ipo juu yaani ime maintain,hivi Kuna taasisi gan utawakosa?
Kuna eneo gan tz utamkosa mchaga? Hii Ni exposure ya Hali ya juu kbs kimsingi bado sana kutufikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni moja ya wale wapumbavu sana wote tz wamesoma lakini kipindi cha nyuma mifumo mibovu ya ajira ndo iliwafanya muwepo Kila sehemu. Yani nyie si wakukabiziwa nchi maana mtamuweka mpaka mtoto wa miaka miwili ofisini, asilimia kubwa wenye vyeti feki wanatokea Kaskazini tunawafahamu wengi mmetimuliwa msimu huu wa awamu ya tano wengi tu. Msipende kujidai mmesoma wakati tumegundua janja yenu . Ukimwajiri mchaga mmoja ndani ya mwaka utakuta wamejazana wao mpaka wanapika na vyeti wanajidai wasomi. Tuna data zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna neno umenifurahisha mkuu.....' kuna tofauti ya mtoto aliyekulia kwenye nyumba ya nyasi na aliyekulia kwenye nyumba ya bati na sakafu'..... hayo maneno yamebeba ujumbe mzito na ndiyo hayo pekee yamenifanya kuchangia mada hii.

Kwingine kote nimetofautiana kidogo na mawazo yako.

Sisi tunaunga mkono chochote kinachojengwa popote kwa gharama yoyote!

Huu mwamko wa uungaji mkono wa aina hii umetokana na matendo ya tawala zilizopita, za siasa za maneno, kupiga pesa hadi nchi ikachakaa kama dampo la taka na tukakosa wa kumlaumu!

Miradi yoyote ile ijengwe kaskazini, kusini, mashariki ama magharibi kwa gharama yoyote sisi twaiunga mkono, maana hii ni Tanzania moja hatuhitaji vibali vya uhamiaji kwenda kuishi popote upapendapo.

Kuanza kusema matabaka ya wa kaskazini, sijui mashariki, mawazo hayo yana harufu ya ukabila na ni sumu kwa kizazi cha leo.

Mawazo ya namna hiyo yalikwisha kufutwa zamani na baba wa taifa kwa kutoa elimu ya uraia iliyomaliza ujima huo wa ukabila, sasa tusirejelee huko

Aheri kujenga kuliko kutojenga na hela iliyopo kuishia kupigwa na wajanja!


Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda kuishi Kaskazini watakuloga Hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao bado hawajazinduka mkuu! Makabila yote siku hizi wameelimika wanajua dunia inaendaje.

Enzi za wewe mtoto wa shirima basi nenda dar kuna shirima kwenye shirika flani utapata kazi zimeisha.

Ndio maana wakienda maofisini siku hizi wanakutana na rundo la watu kutoka kila Kabila wana cv Sawa na yake na wote wanataka kazi hiyo hiyo,
Akikosa anaishia kulaumu eti Magu anapendelea na kubagua watu wa Kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkakati wa kichadema

M/kiti MCHAGA
Katibu MCHAGA
M/kiti bawachha MCHAGA
M/kitu Bavicha nijuzeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema is poor hakuna chama hapo ni saccos ya kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli mkuu! Naomba kanda ya ziwa kama kuna watu wamepania kuinua maisha ya kanda ya ziwa! Wajenge vyuo vingi vya elim huko, nasikia kuna CBE inajengwa bariadi sapiwi, na DIT mwanza nk. Naomba vyuo vikuu viongezeke badara yakubaki na SAUT pekee, harafu wasamvaze siyo kuwa palepale mjini. Pelekeni vyuo vya NIT kama tawi pale magu kuna maeneo mengi bado yapo wazi maana saivi NIT ni dar pekee, chuo cha bandari perekeni pale Nyamikoma ziwa lipo na maeneo yapo, chuo cha anga pale kisesa maeneo yPo na na vyuo vingine
Huo ndio ukabila anaofanya magu.
 
Mnasikitisha sana ninyi Vijana, yani mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Ninaposema ninyi mashoga mnadhihirisha kweli ni mashoga.
Hoja hamna mmeanza mipasho, pumbavu Kabisa.
Tulieni wanaume tuwafundishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamshabikia rais mbovu zaidi Africa hata kutoka nje ya nchi hii shida. Tuwe makini sana na dikteta huyu.
 
Back
Top Bottom