Nimekuelewa Sana mkuu hongera
Kwa kawaida ya kabira yetu ulitakiwa kusifiwa kwa tusi au salazo ila tuuachane na hayo,
Kuhusu vingine vilivyojengwa harafu havina muendelezo si kweli kuota nyasi msiti wa msoga inatokana na kijji kilivyo kwa msoga ilivyo Kama kule kilipo Kijiji kukawa kumejengwa msikiti mwengine Basi hapana budi ule msikiti wa barabarani kuota nyasi
Nilichojifunza kwa
Watu wa kaskazin kikubwa ubinfs (ukabila) migogoro ya mipaka aridhi mkiwa na mtu wa kutoka kaskazin kjijin kwenu maendeleo anataka yawe kwake tu mi nilishaamishiwa nguzo ya umeme kisa kaenda kulipa yeye hapo ilipowekwa nguzo na tanesko wote tungepata umeme mini na yeye lakini yeye akawambia iwekwe kwenye kiwanja chake sio hapo barabarani
nakubali kuwa aridhi iliuzwa na inauzwaa Bei Chee kweli lakini utakuta kaya moja yenye familia ya watu 10 Wana pori la heka 100 Kila wanalima heka 12 au 15 Kuna heka nyingi zinabaki hazifanyiwi kazi hujauza Bei Chee unangoja Nini,matapeli wakuuzie
Pwani kikwete kaacha alama kapandisha aridhi thamani na maendeleo yanayoendelea
Sent using
Jamii Forums mobile app