True hawezi fafanua nilichomuuliza kwa kuwa hakuna 'substance'
Wamekariri ya miaka ya nyuma
Watizame sasa na watizame mbele itakuwaje
Ukanda wont matter...everyone is exposed
It will js be TZ
..and we're really working hard rafiki. Tanzania ni moja na hakuna sababu ya kuona fulani ni bora zaidi ya mwenzake.
Kwa hiyo bila kaskazini hakuna maendeleo?Kwa mfano Pwani ya JK wenyeji wamebaki kuwa viibarua wapagazi na kazi zisizo na taaluma huku wakiendelea kuuza ardhi zao kwa bei sawa na bure.. Wao wakipata pesa kidogo ni starehe na KUONGEZA wake.
Siwezi kuizungumzia CHATO kwasasa lakini haina tofauti sana na Pwani... Na kuna uwezekano mkubwa sana awamu hii ikiheshimu Katiba na kuondoka madarakani kila kitu kitakufa kule.... Labda wa kaskazini wafanye jitihada kuokoa jahazi kwakuwa maono yao ni makubwa na uelewa wao uko deep zaidi...
nimekuwekea hapo naomba pls nipe tafsiri yako kulinganisha na nilichoandika.. Nia sio malumbano bali ni kuelimishana na kuwekana sawa
Jr![]()
Kwa mikono yako mwenyewe umeamua kuandika huu ujingaWachaga na watu wa Kas kazini acheni kuishi Tanznaia ya Miaka 30 iliyopita!
Sasa hivi kila mtanzania ana exposure, amesoma, siyo kama zamani mchaga pekee ndio alikuwa biashara anajua yeye, kazi za maofisini anajua yeye tu!
Sasa hivi kila mtu ni mjanja. Fursa ikijitokeza kila Kabila linaiona na kuifanyia kazi.
Sasa ndugu zangu wa Kas kazini bado mna akili za miaka ya nyuma hamtaki kukubali ukweli kwamba fursa mlizokuwa mnazi fanya ninyi siku hizi kila mtanzania anamudu kuzifanya! Ndio maana mnaona kama mnaonewa na utawala huu maana kila mnapoenda mnakuta watu wameshawahi
Kubalini kwamba watanzania wa kila Kabila wanasoma na wamejanjaruka siku hizi.
Hakuna kinachodumu milele. Poleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaskazini wote maisha yao 'first class', kuanzia Unga Limited, Same mpaka Mashati Rombo!Kaskazini hamna vibarua?..
Huo uelewa deep na maono ni yapi.??
Labda utuelimishe?.
Unauliza mateke kwa punda?Kutaka kufanana na Tanga, moshi na arusha?
Unaamanisha hiyo mikoa ni bora sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatakaa waishushe watu wana mikakati ya kimaendeleo'kaskazini mtasubiri kwanza tujenge maeneo mengine'
Kwa hiyo bila kaskazini hakuna maendeleo?
Mbona siku hizi Watu kutoka kanda zote wachakarikaji na wanafanya maendeleo makubwa tu.
Pita Geita, Kahama, Mwanza kuna kila kitu kinachopatikana hiyo kanda ya Kaskazini. Bahati nzuri sisi wengine mikoa yote Nchi hii tumepita na kurudia. Kuanzia Majengo Moshi, Hedaru, Katoro, Tunduma nk.
Hakuna Watu wa 'kanda' flani wanaohodhi maendeleo au elimu

Elimu,elimu, elimuHujawa muwazi mkuu ni nini hasa kifanyike kuiinua chato
upo sahihi ndg.Wachaga na watu wa Kas kazini acheni kuishi Tanznaia ya Miaka 30 iliyopita!
Sasa hivi kila mtanzania ana exposure, amesoma, siyo kama zamani mchaga pekee ndio alikuwa biashara anajua yeye, kazi za maofisini anajua yeye tu!
Sasa hivi kila mtu ni mjanja. Fursa ikijitokeza kila Kabila linaiona na kuifanyia kazi.
Sasa ndugu zangu wa Kas kazini bado mna akili za miaka ya nyuma hamtaki kukubali ukweli kwamba fursa mlizokuwa mnazi fanya ninyi siku hizi kila mtanzania anamudu kuzifanya! Ndio maana mnaona kama mnaonewa na utawala huu maana kila mnapoenda mnakuta watu wameshawahi
Kubalini kwamba watanzania wa kila Kabila wanasoma na wamejanjaruka siku hizi.
Hakuna kinachodumu milele. Poleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kila kitu kizuri kikijengwa kaskazini ndiyo nchi itakuwa imeendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app

upo sahihi ndg.
wakinga licha ya kusemwa kwamba ni washirikina na wachawi, leo hii wanaenda sambamba na watu wa kaskazini katika biashara.

HatujakataaWachaga na watu wa Kas kazini acheni kuishi Tanznaia ya Miaka 30 iliyopita!