Mkewe Lowassa analia

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
0
mamapm.jpg


2.jpg


Hivi huyu mwanamke analia kwa sababu ni God gven right kwa mumewe kuwa waziri mkuu ?

UKISIKIA UJINGA TO THE MAZX BASI NDIO HUU
 

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,095
2,000
Sii walikula wote- sii alikubali alivyoona vitamu?

Sasa nini anacholilia?

Unafiki tu- kwa nini hakuvikataa wakati vinaletwa?

Hamna lolote- unafiki mtupu!
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
37,310
2,000
mamapm.jpg


2.jpg

Hivi huyu mwanamke analia kwa sababu ni God gven right kwa mumewe kuwa waziri mkuu ?


UKISIKIA UJINGA TO THE MAZX BASI NDIO HUU

Nadhani mama hakuwa anafahamu Mzee alikuwa anampa raha zote kwa fedha za ufisadi,kilio hicho ni cha kujisikia vibaya kwamba jamii itamhusisha na yeye kama mmoja wa walio changia ufisadi wa mumewe.
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
0
Kuna mtu ana ile video ya Lowassa wakati anatangaza kujizulu? maana alikuwa na jazba sana...!!!
 

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,095
2,000
Brazameni bwana- ahsante kwa picha!

Unajua hapa JF zaidi ni Bzamen na GT ndo huweka picha!

Ahsante Mkuu!
 

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,115
2,000
Hivi huyo mzee mwenye mvi anayemkodolea mimacho mke walowas ni nani???
 

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,279
1,195
Kiti kitamu mama... hata kama kitakuwa kiti cha sinema ukienda msalani ukirudi ukikuta mtu kakalia kiti chako utarusha ngumi seuze U-PM

Pole mama ndio dunia Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake litukuzwe - AMEN
 

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,457
2,000
Sii walikula wote- sii alikubali alivyoona vitamu?

Sasa nini anacholilia?

Alishindwa kumshauri Mme wake!

Mkuu usifanye utani na fedheha!Kinachomliza huyu mrs huenda ni kule kukosa tripu za kutalii kila mkoa na nje ya nchi wakihimiza "Maendeleo" na mumewe, pamoja na kunyenyekewa!
We unafikiri kutoka kunyenyekewa hadi kuonwa "Kimeo" mbele ya hadhara ni mchezo, ebo! Na atalia sana huu mwaka!
Yaani Lowassa sasa kawa kama toy fulani hivi mtaani!
Shame on them!
 

jambotemuv

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
224
225
Kulia halali kwani mkwara wa JK wa kugandisha akaunti za benki mmeuona mdogo. Kuzuiwa kutoroka au kutorosha mali mwakuonaje? Amewatambia na kuwadharau wangapi leo wamuone mke wa kimeo? Acheni alie Yanokuja makubwa.
Kisingov
 

mwanamama

Member
Feb 6, 2008
61
0
Wewe!! Ehe huyu mama alikuwa anajua kabisa kuwa mumewe MWIZI, huku kulia anakolia ni UHASIDI wake tu. Kwani kama mumeo wajua analipwa dola 1,000 kwa mwezi, akija nyumbani na dola 100,000 wewe unataka kumdanganya nani kuwa ulikuwa hujui kama mumeo ni MWIZI? Acha unafiki wako wewe. Tena na hizo account muziachie TZ sasa hivi. Wezi wakubwa nyie. Sasa basi na tuone hao wazungu mliokuwa mkila nao basi kama watawasaidia chochote!
 

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,622
2,000
Mwanamke yeyote angelia kwa hali kama hiyo; tatizo ni kwamba huenda hakufanya kazi yake ipasavyo; ya kumshauri mume wake aachane na ufisadi. Too late, aibu itawanyong'onyeza sana. Nyerere alimwambia live yeye ni fisadi lakini akapuuza..ona sasa..angeacha wakati upe sasa angepeta tun na U-PM wake mpaka 2010..hata u-prez huenda angeudaka maana kwa kukomalia mambo ni mtaalamu...on sasa ..kaendeleza ufisadi yakamharibikia..bye bye mang'ati kachunge ng'ombe Monduli..maana hata hela zetu tutazirudisha..hakuna kuwa mfabyabiashara baada ya U-PM na kutuibia.
 

mashoo

Member
Jul 25, 2007
66
0
Pole mama kwa kuguswa ila machozi yako is nothing compared to majority of WOMEN in Tanzania who cried for several reasons in their entire lives. For example; Mrs EL do you know how many women cried because they didn't have food on the table(plate) for their children? How many of them cried while watching their kids died of malaria or any disease just because they couldn't afford a treatment au hata net ya mbu!!! How many cried because their husband lost their jobs and they are not sure about their future anymore??? and so forth, so shut up woman you and your Fisadi husband have a lot ( of course what you stole from poor people)for the rest of your life, najua pesa hazijai ila mmetunyonya vya kutosha na sasa basi, tena kinachofuata ni kufilisiwa hapo ndio tutaona mchozi wa damu!
Good luck for the coming STORM!
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,178
2,000
pole mama ndio maisha.

sio mwisho wa maisha jipangeni na angalieni mlipokosea ili muendeshe maisha yenu na kurejesha heshima yenu kwa taifa.

taifa bado lipo na bado linakupeni nafasi ya kujirekebisha na kudeliver mchango wenu ili kufuta yale mabaya mlioyatanguliza
 

Bobby

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
2,179
2,000
Muda wao nao kulia kwani sisi tumelia sana pia tukaonekana ni kilele za mlango zisizomzuia jk mwenye nyumba kulala.

Personally, sijafurahi bado kwa kuvunjwa baraza la mawaziri,I keep my fingers closed. Nitafurahi tu pale rais atakapoacha usanii na urafiki kando na kufanya kazi kwa ajili ya wananchi waliompa hayo madaraka. Asikilize vyombo vya habari jamani ikiwemo JF sisi sio vichaa.
 

izihaka

Member
Jan 25, 2008
16
20
Mama huoni aibu,mapesa yote uliyokuwa unahonga vijana ili wakustareheshe huyakumbuki!!??Shetwaini wa kike usiye hata na chembe ya aibu kwa mwenyeziMungu!Inasikitisha sana kuona hata mke wa Lowassa alikuwa typical fisadi...tena walikuwa wanasaidiana na EL kufisadi hadi mapenzi.China iko wapi jamani hawatakiwi kupewa hata maji ya kunywa nchi hii.Starehe zao na watoto wao zimetufikisha huku. Jamani Alphatel yake,Alpha Dry Cleaners yake,Apartments Arusha zake,Rich-Monduli yake, Bettty Mkwasa wake,HAkimu wa Arusha wake,Secrtary wa AICC wake, EPA yumo, Dowans yumo, beach zote kauza yeye,Viwanja vya wazi kauza yeye,Kiwanja cha mecco kwa kakobe kauza yeye, maji bongo kauza yeye...na mengi mengine ni aibu kwani alikuwa akichukua hata rushwa ya extra duty (10,000) pale wizarani. HAWAFAI KUWA WATANZANIA HAWA!!ROSTAM AZIZ YUKO WAPI??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom