Bakariforever
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 510
- 514
Utakuwa umeoa kwakina ulewediii au mtoto wa Lipumba wewe, na mpaka jerooo uiite mia tano
sijakwambia usaliti. Ila akiendelea hivyo. IPO siku utasaliti. Hata wanaosaliti walikuwa hawataki kusaliti ndoa zao ila.... Makwazo ya wenzaoNahofia kusaliti ndoa yangu
Kuna ile hata kupendeza tu mwenyewe sasa wengi huwa very rafu mda wote madira tu kah. Kuolewa sio mwisho wakutokujipenda na kujisahau kivileSure inabidi mwanamke ujitahidi kubaki vile vile japo ngumu somehow...kutokana na family matters
Sinaga tabia ya kula mtaani saivi inanilazimu nifanye hivyoMwanaume unatokaje kazini na njaa unanyoosha moja kwa moja nyumbani?
Huu ujinga niliukataa kitambo sana.
Kula ata mshkaki wa 200 upunguze njaa maana njaa na hasira ni majirani unaweza kuja piga mtu bila kukusudia.
Mkuu uko sahihi ana mwili mwembamba piaPole sana mkuu.
Haya mambo yapo sana kikubwa kaa na shemeji mueleze, maisha ya ndoa sio bongo movie mnatakiwa kuishi kwa uhalisia.
Kingine uko kwako ukila unatakiwa kushiba maana hakuna sehemu nyingine utaenda ule kwa uhuru kama kwako, maisha mafupi haya kula ushibe na ule unachokipenda.
Kwa suala lako najua mkeo ana mwili mdogo (mwembamba), wataalam wa psychology wanaeleza kwamba mwanamke mwembamba hua mvivu kupika na ulaji wake hua kidogo hivyo akili yake huwaza kwamba kila mtu anakula kidogo kama yeye, hii ni kinyume cha wanawake mabonge ambao ukiwa nae ni full kukaangiza mapochopocho yaani ukiwa na mwanamke bonge utakula mazaga zaga mpaka ukinai maana nature yao ni watu wa kula sana.
Umemwambia lakini kama haushibi ili aongeze kipimo??Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua
Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?
Basi tafuta mchepuko awe anakupikia ugali mkubwa kama tofaliHapana, wajibu wa mke huo
Buraza tuombe radhi wanaume wa dar huyo ni mwanaume wa mkoaniMkuu, kwanza naona kama unamdhalilisha mkeo hapa. Na pia inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwanaume laini tena mwenye kupenda kulalamika.
Kwanza hauoni haya/aibu kuja hapa jf kumsema mkeo vibaya, ilhali bado ni mkeo...[emoji53] [emoji53]
Kisha ukimaliza kumuandika huyo mkeo hapa, alafu unaenda kula tena chakula chake na kujifunika nae shuka moja...[emoji45]
Ebu badilika mkuu, yaani jambo dogo kama hili unashindwa kulitolea maamuzi kama baba.... je siku ukija kumfumania hata kwenye sms sindio utajinyonga kabisa...[emoji46] [emoji46]
Wanaume wa Dar mna matatizo zana aiseeee..... na skuizi mnalalamika kuliko hata dada zenu...[emoji16] [emoji16]
Haaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ndo tatizo la kuoa watu waliosoma uchumi......utakula mpaka mawe pole sana