Pole mkuu, umeoa MTU mbinafsi sana, siku ndugu yako akija, atakomeshwa au ukiwa na mtoto wa nje itakuwa balaa!!!Nitoke kazini halafu nipike kweli? Nini wajibu wa mke?
Hata kama kula kula si anazitafuta yeye kwa nn umpangie especially kwny kula?Mkuu...huwezi jua upande wa pili, ukute jamaa ni kula kula ss hapo kuna kujenga, ada?
Binafsi jamaa nimemuelewa unajua hili ni tatizo tena halivumiliki kirahisi kwani linahusu maisha ya kila siku hivyo kwauchangiji huu niwache tunaweza kumuelewa ndugu yetuMkuu, kwanza naona kama unamdhalilisha mkeo hapa. Na pia inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwanaume laini tena mwenye kupenda kulalamika.
Kwanza hauoni haya/aibu kuja hapa jf kumsema mkeo vibaya, ilhali bado ni mkeo...[emoji53] [emoji53]
Kisha ukimaliza kumuandika huyo mkeo hapa, alafu unaenda kula tena chakula chake na kujifunika nae shuka moja...[emoji45]
Ebu badilika mkuu, yaani jambo dogo kama hili unashindwa kulitolea maamuzi kama baba.... je siku ukija kumfumania hata kwenye sms sindio utajinyonga kabisa...[emoji46] [emoji46]
Wanaume wa Dar mna matatizo zana aiseeee..... na skuizi mnalalamika kuliko hata dada zenu...[emoji16] [emoji16]
She was faking mkuu sasa hivi anajua huwezi kumwacha hata iwejeNi kweli kabla ya ndoa alikuwa mwelevu nikimwambia anaelewa sasa hivi amebadilika
Ila wanawake sisi tuna shida mahali...She was faking mkuu sasa hivi anajua huwezi kumwacha hata iweje
Nimekuelewa mkuu wangu!Akiba naweka mkuu ,nazungumzia suala la chakula na pesa ninayomuachia ni bajeti ya kula so hainiathiri chochote kwenye mipango yangu
Very truu...hata mimi nimerudi nyuma nimeona wife ana shida mahali!Hata kama kula kula si anazitafuta yeye kwa nn umpangie especially kwny kula?
Hii hapana shost
Hahahahah Kua serious mkuu,Ndo tatizo la kuoa watu waliosoma uchumi......utakula mpaka mawe pole sana
HahahahaUnaporudi uje na mazaga zaga kama matunda n.k. yawezekana yeye amelelewa zile familia mboga saba kwa hiyo hajazoea maugali makuubwa bali mapocho pocho kibao.