Kweli unashindwa kumwambia mkeo rudi jikoni?
Sasa utaweza kumwambia babe panua vizuri?
Asante kwa ushauriKuna mzee mmoja nae alikuwa hashibi km wewe mwanamke anabana msosi.
Siku dingi akapita sokoni kanunua kilo na nusu ya nyama akamletea mkewe na kumwambia kuwa kuna watano wanakuja kumtembelea hivyo awaandalie chakula cha kutosha.
Basi dingi akaaga kuwa yupo bar jirani ana maongezi na wageni na chakula kikiiva amjulishe kwa simu ili aje na wageni.
Basi akaandaa ugali wa aja. Muda ukafika mzee kuitwa kaja mwenyewe na kukuta nguna mezani ya watu 5 akaipiga yote mwenyewe yalibaki maua ya sahani.Toka hapo wife akaelewa somo
Sawa mkuumwanaume hutakiwi kushiba usiku,mchana kula utakavyo usiku shiba just 40% nakupa hiyo siri mzee usije ukaanza kuliwa hela huna nguvu za kiume vitu vidogo vidogo kama hivyo ndio vinawaangusha na bahati mbaya wengi hamjui na viko vingi mi naamini huwezi kusimam*** halafu eti usiwe na nguvu sasa imesimama vipi? come down bro mke wako amefundwa
ha ha ha eti bongo flevaBinafsi jamaa nimemuelewa unajua hili ni tatizo tena halivumiliki kirahisi kwani linahusu maisha ya kila siku hivyo kwauchangiji huu niwache tunaweza kumuelewa ndugu yetu
Lkn kwa hawa bongo fleva hawa hamuwezi kuelewa