Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

WEWE HUKUWA NA HAJA YA KUJA HAPA...HUYO ILIKUWA UNAKULA WAKATI UNAKULA MWAMBIE ARUDI JIKONI...UKIMALIZA HUO MSOSI UNATAKA MWINGINE.. MPIKISHE MARA MBILI MBILI...ATAACHA TU ATAKADIRIA VIZURI TU...
Ntafanya hivo
 
Wengine wanalalamika waume zao hawali nyumbani, kumbe kuna wanao lalamika wake zao wanawapunja menu! du pole sana mwambie utamuolea mke mdogo amfundishe kupika chakula cha kula mwanaume
Yani we acha tu nahangaika kwa ajili yake na familia mwenzangu hatambui hilo na kila siku lazima nimuachie matumizi
 
Mke aninyime vyote ila chakula cha usiku na cha mchana nishibe. Kinyume na hapo ni vita .
Haha daaa nini ushauri wako hapo 'vita' unamaanisha nimpige ?
 
Mwanaume unatokaje kazini na njaa unanyoosha moja kwa moja nyumbani?

Huu ujinga niliukataa kitambo sana.

Kula ata mshkaki wa 200 upunguze njaa maana njaa na hasira ni majirani unaweza kuja piga mtu bila kukusudia.
 
Mwanamke mchoyo wa chakula hafai aisee hata kukiwa na wageni atawanyima msosi mwishoni nyumba ikose wageni. Mtu mchoyo wa msosi hafai hata kwa kulumangia ugali walah. Mwambie aache hyo tabia
Mimi sikujua kama yupo hivi yani kuna muda najuta najitahidi kumtumizia kila kitu ila wapi kazi bure
 
Mpige show ya kibabe kabla hajaenda kupika.... Nadhani akiingia jikoni.... Atapika bonge moja la dreamliner kufidia nguvu ulizomtoa wakati wa show
 
Hii story inanikumbusha mfanyakazi mwenzangu mmoja, alioa mke akawa anapika chakula kidogo jamaa hashibi. Siku moja jamaa akamwambia kuwa, kesho tuna wageni watatu hivyo pika chakula cha kutosha watakula mchana hapa nyumbani. Bi dada akapika chakula kama alivyoambiwa na mmewe.

Baada ya chakula kuiva akamuuliza mme mbona wageni hawafiki na chakula tayari. Jamaa akamwambia tuendelee kula wako njiani.

Jamaa akaanza kupiga msosi hotpot la kwanza likaisha, akamwambia mkewe lete na kile kingine wakija utapika kingine.

Baada ya kumaliza kula. Akamwambia hiki ndiyo kipimo cha chakula kila siku hakuna mgeni yeyote.

Hivyo nawe unaweza tumia njia hiyo.
Aseee !! acha nijaribu hiyo njia
 
Asee! Acha nijaribu hiyo njia
 
Mimi sikujua kama yupo hivi yani kuna muda najuta najitahidi kumtumizia kila kitu ila wapi kazi bure
Pole sana watu.hificha tabia kabla ya ndoa baada ya kuolewa ndo hukunjua makucha
 
Back
Top Bottom