Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Kuna ile hata kupendeza tu mwenyewe sasa wengi huwa very rafu mda wote madira tu kah. Kuolewa sio mwisho wakutokujipenda na kujisahau kivile
Kabisa ....lazima mwanaume akukinai mapema
 
Kosa vyote siyo chakula, pesa uache na bado unaenda kula vibandani... Usimwambie tena kuhusu hilo jaribu siku 2/3 akipika kidogo usile ingia pika ugali huku ukiwa umerudi na nyama heavy.. Halafu umkaribishe... Huyo shenzi zake
 
Mkuu pesa utafute wewe, then chakula usishibe, bajeti ya msosi umeacha home.. hapo wife ana shida mahali

Au ndio wale pesa yote wanapeleka vikoba?? otherwise ni UCHOYO kiwango cha stigilaz Goji
 
Ijumaa ukitoka kazini akikupa msosi kidogo kula maliza afu ilambe sahani mbele yake,ondoka home rudi nyumbani jumamosi usiku, akikuuliza ulikuwa wapi mwambie nilikuwa nimeenda kula.
 
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua

Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?
[emoji23][emoji23]dah mkeo ana kukazia adi wewe..
 
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua

Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana dunia ina mambo kama unajua kupika, mkimaliza kula au ukiona chakula ni kidogo songa ugali wako naye akiona mwambie hichi chakula chako sishibi ataacha huyo mke wawapi àu ndiyo wale fungu la dagaa mchele watu 10 mnagawana, badala ya kupika matembele mkala mkashiba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eeehh Mungi niepushie mbali wanawake
[emoji117]Wasopenda kula
[emoji117]wavivu kupika
[emoji117]washindiao chips


Kwa maana nimachukizo ya kiwango cha Mwendo kasi
 
Itakuwa mkeo kaona una kitambi au obesity, kaamua kukupunguza automatically
 
Watanzania wengi hatuna nidhamu kwenye kula,

Kuna watu, km mimi nishajijengea utaratibu tangu huko nyuma kuwa usiku nakula vitu vyepesi.

Naweza kunywa yoghurt au Juice na andazi moja na matunda nikalala.

Sasa kwa utamaduni huu nilionao, ukija kwangu waweza sema mimi mchoyo au nakunyanyasaa.

Inaweza kuwa mkewe si mtu wa kula na anazingatia sana suala la lishe.

Sasa mleta mada yeye kashazoea kushiba usiku utafikiri anakwenda kupasua mawee.

Jinsi mwili unavyouzoesha ndivyo unavyokuendeshaa.

Tatizo naliona kwake, SIO LAZIMA KUSHIBA.
Hii si uchumi ni tabia mbaya hivi anashindwaje kumpikia mumewe chakula chakutosha ashibe, au anataka mumewe ashindwe kazi.
 
Siku moja ukiwa umepumzika home jifanye mahaba yamekolea unamsaidia kupika,halafu pika chakula cha kutosha na Ww ndo uwe mpangaji anaweza kukuelewa kama siyo tabia yake,fanya kiutani ndani ya mahaba
 
Watanzania wengi hatuna nidhamu kwenye kula,

Kuna watu, km mimi nishajijengea utaratibu tangu huko nyuma kuwa usiku nakula vitu vyepesi.

Naweza kunywa yoghurt au Juice na andazi moja na matunda nikalala.

Sasa kwa utamaduni huu nilionao, ukija kwangu waweza sema mimi mchoyo au nakunyanyasaa.

Inaweza kuwa mkewe si mtu wa kula na anazingatia sana suala la lishe.

Sasa mleta mada yeye kashazoea kushiba usiku utafikiri anakwenda kupasua mawee.

Jinsi mwili unavyouzoesha ndivyo unavyokuendeshaa.

Tatizo naliona kwake, SIO LAZIMA KUSHIBA.
Mkuu hilo sawa ila huwezi jua kazi anayofanya mshikaji, ww unakula ivyo Inawezekana kutokana na nature ya kazi unayofanya baadhi ya kazi huwezi kula ivyo ulale kesho uamkie kazi
 
Mkuu kama unakula then unaenda kulala (usiku) hakuna sababu ya kula chakula kingi na kizito hata kama utaamkia kazi ngumu.

Kama ni mtu wa kazi ngumu, anaweza kula chakula chenye wanga asubuhi na kuendelea na majukumu yake.

Unapo lala Body metabolism inakuwa ndogo sana, na mwili uhitaji kiaso kidogo cha energy kuendesha maisha.

Mimi mwanzoni wkt naanza kula vitu vyepesi, nilipata shida mwanzoni kama wiki hivi, lkn baada ya hapo nikazoea.


Leo nikizidisha kipimo kwa chakula nilichozoea, napata shida sana usiku, tumbo linajaa na najiona siko comfortable.
Mkuu hilo sawa ila huwezi jua kazi anayofanya mshikaji, ww unakula ivyo Inawezekana kutokana na nature ya kazi unayofanya baadhi ya kazi huwezi kula ivyo ulale kesho uamkie kazi
 
Pika tu mwenyewe mwanangu. Ukirudi nunua mboga unayoipenda andaa huku ukimweleza anachotakiwa kufanya. Pole.
 
Back
Top Bottom