Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua

Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?

Wewe umeoa au umeolewa? Vitu vingine mbona viko straight vaa vazi la mume halafu ulete mrejesho.
 
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua

Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?


Usikute hizo hela unazomuachia kwa ajili ya msosi ukawa una share chakula na mwanaume mwenzako. Wewe hushibi ila mwenzio analishwa mpaka anakufuru kisha anabanjua mzigo kitandani kwako na kukuona wewe fala tu. Wanawake wana mambo ya hajabu sana.
 
hiii ole nshenzi gete.. bugali twa kushika tuu anampikia nanii...???


mkuu ndoa miez mitano unawaza kuachana kisa ugali mdogo.. nunua sufuria kubwaa.. na mweleze mke ni rafiki othrwise ndoa itakushinda!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Utakufa siku sizako mkuu inshu ndogo kama hii unashindwa kumwambia je ukisikia anagawa uroda njee utamwambia kweli nauwoga wako huo
 
Kila mtu akija kueleza tabia za mke wake hii JF si itajaa kwa nyuzi zisizo na kichwa wala miguu?
Halafu ashamwambia? Asijelalamika huku wakati mhusika hajui lolote! Ndoa ni mawasiliano hata km ukweli unauma mwambie tu
 
Na hapo hamjapata watoto bado..

Hahahahhaa... Pole.
 
Pole sana mkuu.
Haya mambo yapo sana kikubwa kaa na shemeji mueleze, maisha ya ndoa sio bongo movie mnatakiwa kuishi kwa uhalisia.
Kingine uko kwako ukila unatakiwa kushiba maana hakuna sehemu nyingine utaenda ule kwa uhuru kama kwako, maisha mafupi haya kula ushibe na ule unachokipenda.

Kwa suala lako najua mkeo ana mwili mdogo (mwembamba), wataalam wa psychology wanaeleza kwamba mwanamke mwembamba hua mvivu kupika na ulaji wake hua kidogo hivyo akili yake huwaza kwamba kila mtu anakula kidogo kama yeye, hii ni kinyume cha wanawake mabonge ambao ukiwa nae ni full kukaangiza mapochopocho yaani ukiwa na mwanamke bonge utakula mazaga zaga mpaka ukinai maana nature yao ni watu wa kula sana.
 
Huyo dawa yake mdogo mbona.usiwe unakula nyumbani uwe unakula hukohuko hotelini na wewe unaonekana unapenda kubust sana?
Hapana sio kweli ila ni kidogo mno
 
Kula hotelini kila siku sio suluhisho maana kumbuka pia huyo ni mtu ambae auntakuwa nae for the rest of your lives so hutoweza kuwa unaenda kula hotelini kila siku labda kama ni mara moja moja, je umewahi kumuuliza kwanini anapika chakula kidogo ilhali ushamwambia hakikutoshi? pia kama ni mimi ningekuwa namrudisha jikoni hasa ukizingatia mara nyingi wanawake wengi kama ameshapika kamaliza ktenga huwa hawafurahii kurudi jikoni kupika tena so usumbufu ambao angekuwa anaupata kupika mara mbili mbili ungeweza kumfanya apike chakula cha kutosha maana atakuwa anajua bwana yule asiposhiba tu ntarudi jikoni tena esp chakula cha usiku, vipi na kile chakula kingine cha uzima unapewa kweli maana najaribu kufiria hiki unachokinunua kila siku unapewa kidogo hicho kingine unaweza kuta toka miezi mitano ya ndoa umepewa mara mbili tu!!!
Nashukuru mkuu kwa ushauri
 
Kama anafanya hivo we lete hausigeli ...awe anapika ...nyodo zote mfukoni huyo ....tena wale mabeki tatu from Iringa
 
Back
Top Bottom