Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

Ha ha ha ha ha hiyo ni tabia yake inategemea ametoka katika jamii ipi,ila ondoa shaka atabadilika na ataendana na kasi yako baada ya kukuzoea.
 
We mnunulie masufuria yale makubwa ya kwenye misiba au harusi uone km atapika kidogo
 
Mazoezi ufanyi bado unatak machakula mengi usiku wa manane kitambia bhna sio ki2 kizur
 
Mazoezi ufanyi bado unatak machakula mengi usiku wa manane kitambia bhna sio ki2 kizur
 
Buraza tuombe radhi wanaume wa dar huyo ni mwanaume wa mkoani
Wanaume wa Dar wanatofauti kubwa na wanaume wa Darisalama, na bahati mbaya sana Dar Es Salaam ni tofauti na Dar.
Buraza, Darisalama inatofauti kubwa na Dar ambayo haifanani na Daslam....tehteehh
Bahati yangu mbaya, sijajua wapi ninapaswa nitombe radhi hadharani..[emoji29] [emoji29]
 
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua

Mpaka inafika kipindi kabla sijarudi nyumbani nipitie hotelini nile kwanza halafu ndio niende kwangu nimeongea nae sana lakini anaacha siku kadhaa halafu anarudia tena tabia yake ushauri wenu wakuu nimuache au nimfanye nini?
We jamaa jitathmini kwanza tabia yako,,,maana nimekushangaa jambo kama hili kuleta humu wakati una ndugu na huyo mwanamke ana ndugu mnaweza mkakaa mkatatua
 
Mwambie hushibi na kichakula chake cha kuonja! Unashindwaje Kuwa muwazi kwa mkeo!?
 
Mkuu, kwanza naona kama unamdhalilisha mkeo hapa. Na pia inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwanaume laini tena mwenye kupenda kulalamika.
Kwanza hauoni haya/aibu kuja hapa jf kumsema mkeo vibaya, ilhali bado ni mkeo...[emoji53] [emoji53]
Kisha ukimaliza kumuandika huyo mkeo hapa, alafu unaenda kula tena chakula chake na kujifunika nae shuka moja...[emoji45]
Ebu badilika mkuu, yaani jambo dogo kama hili unashindwa kulitolea maamuzi kama baba.... je siku ukija kumfumania hata kwenye sms sindio utajinyonga kabisa...[emoji46] [emoji46]
Wanaume wa Dar mna matatizo zana aiseeee..... na skuizi mnalalamika kuliko hata dada zenu...[emoji16] [emoji16]
Safi mzee okoa Taifa lako
 
We jmaa mm nakujua toka primary ugali wote ule unasema mdogo duu htl mbona wale jmaa zako wa chaarusha cio km cha njombe wanakula na kubakisha ss iweje leo ww hushibi punguza kula ww jmaa yngu
 
Wanaume wa Dar wanatofauti kubwa na wanaume wa Darisalama, na bahati mbaya sana Dar Es Salaam ni tofauti na Dar.
Buraza, Darisalama inatofauti kubwa na Dar ambayo haifanani na Daslam....tehteehh
Bahati yangu mbaya, sijajua wapi ninapaswa nitombe radhi hadharani..[emoji29] [emoji29]
Hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom