AIG
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 202
- 107
- Thread starter
- #201
Kibaya zaidi nina mdogo wangu anaelekea kuhitimu form four nataka nije kuishi nae hapa kwangu si atamshindisha na njaa kwa staili hiiPole mkuu, umeoa MTU mbinafsi sana, siku ndugu yako akija, atakomeshwa au ukiwa na mtoto wa nje itakuwa balaa!!!
Wanao pia wanaweza ugua kwashakoo!