Autorun
JF-Expert Member
- Mar 21, 2008
- 557
- 116
Ili usiumie sana na wewe tembea nje......kwa nini utembee ndani tu bana
akitembea ndani tu atapofuka macho
Ili usiumie sana na wewe tembea nje......kwa nini utembee ndani tu bana
ni incidence imekukuta kweli au umeitoa kwenye hiyo link?manake ushauri unaweza kuwa tofauti kama hili halikuuhusu binafsi,ila katika yote sikiliza moyo wako,kama unaamini unamsamehe na uwe msamaha wa kweli toka moyoni na kwa vitendo sio unamsamehe huku unampa maadhabu ya kihisia kama unapanga kumsamehe hivi, ni bora usimsamehe!Heshima mbele wana MMU,
Nami nimeona sio mbaya kupitia huku walau mara moja. Hoja yenyewe ni kama ilivyo:
Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe? Tumekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka sita na tumejaaliwa watoto wa kiume wawili.
For more:My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.keMy wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.keView attachment 65970
mimi hata tukiwa kwenye ndoa kwa miaka 80 akitembea nje tu basi tunaachan. thats the big mistake ever
Mshikaji haikumkuta yeye, kaitoa kwenye link hiyo. Hata hivyo, link inasema kuwa alikuta condom tofauti na ile waliyozoea kutumia.ni incidence imekukuta kweli au umeitoa kwenye hiyo link?manake ushauri unaweza kuwa tofauti kama hili halikuuhusu binafsi,ila katika yote sikiliza moyo wako,kama unaamini unamsamehe na uwe msamaha wa kweli toka moyoni na kwa vitendo sio unamsamehe huku unampa maadhabu ya kihisia kama unapanga kumsamehe hivi, ni bora usimsamehe!
IGWE mbona unagunammmmmmmmmmmmmmmh
Heshima mbele wana MMU,
Nami nimeona sio mbaya kupitia huku walau mara moja. Hoja yenyewe ni kama ilivyo:
Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe? Tumekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka sita na tumejaaliwa watoto wa kiume wawili.
For more: My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.keMy wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.keView attachment 65970
Duh....kwanini????na siku hizi mtu akigundua ni mke wa mtu anayemtafuna...lazima ALE NYUMA..........hehehe, pole wangu...ila dah, utakuta wife wako amepigwa back..ila Sir God alisema samehe mara 490 kwa siku.....kwa msio jua hesabu, yani saba mara sabini.........
mimi hata tukiwa kwenye ndoa kwa miaka 80 akitembea nje tu basi tunaachan. thats the big mistake ever
Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe?