Mke wangu katembea nje ya ndoa, nimsamehe?

Mke wangu katembea nje ya ndoa, nimsamehe?

Tumekuwa makapi siku hizi,watu watakuja wanataka muwaambie namna ya kuwajibu wake zao,namna ya kudo na iwe mara ngapi,namna ya kuamka asubuhi nakazalika!Hivi tumechoka kabisa kufikiri?
 
"...........anachofanya ni usaliti wa ndoa?"Mmmmmmh utamu uliomo kwenye haya mambo,binadamu wengi huja kukumbuka hizi sentence wakiishavaa nguo.God bless us out of this*?*
 
Taifa linalemaa kupenda kusaidiwa kwa kila kitu, imefika pointi ambayo hata uamuzi mdogo tunasubiri hisani ya watu wa marekani.
 
Watu wengine bwana!! ni kwa nini unaoa kama akili yako bado haijakomaa na hujui ni nini maana ya maamuzi magumu? yani hili nalo linahitaji Ushauri?

Kama wewe ni Mkristo soma hapa:
Mwalimu ( Yesu ) Musa alitufundisha kuhusu talaka je ni kwa vipi wewe unatufundisha kwamba aliyewaunganisha Mungu basi binadamu asiwatenganishe?

Mwalimu ( Yesu ) akawajibu, zamani haikuwa hivi ila kutokana na ugumu wa mioyo yenu ndio maana Musa aliwaruhusu kuwapa talaka wake zenu, basi na mimi nasema mtu na asimuache mke wake isipokuwa kwa kosa la uzinzi tu." Mwisho wa kunukuu.

Kama kuna mtu au padri wako au Mchungaji wako anakudanganya eti Wakristo hawana talaka pole sana. Kosa la uzinzi halina msamaha kamwe.
Wewe acha upotoshaji kabisa, kwanza hapo umeandika mawazo yako na wala sio maandiko, kwa faida ya wengi ngoja ninukuu maandiko yenyewe ni Matayo 19:8-9, "Akwaambia, 'Musa Musa kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwapa ruhusa ya kuwaacha wake zenu, lakini tangu mwanzo haikuwa hivi. Nami nawaambia ninyi: Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini."

Yesu anasema Musa alitoa ruhusa kwa sababu watu walikuwa na mioyo migumu yaani walikuwa wanapenda kuoa na kuacha hata Musa akawaambia basi fanyeni mnayotaka wenyewe lakini sio kwamba ilikuwa ni mpango wa Mungu. Hata pale Yesu anaposema isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati hamaanishi kwamba kama umeoa mke kihalali basi akitembea nje ya ndoa basi unaruhusiwa kumwacha hapana. Kwanza ni muhimu kufahamu maana ya maneno haya mawili yaani UZINZI na UASHERATI. Uzinzi unahusisha watu walio katika ndoa, na uasherati unahusisha watu ambao hawajaoana.

Kwa hiyo, uasherati unaozungumziwa katika maandiko ni pale watu wanapokuwa wanaishi pamoja kwa uasherati yaani hawajafunga ndoa halali, maana yake hao ni mke na mume lakini kwa sababu ya uasherati, hivyo wanaweza kuachana tu, na wanapoachana kila mmoja anakuwa huru kuoa. Lakini kamwe si kwa yule ambaye ameoa au ameolewa katika ndoa halali.

Kwa hiyo, tusidanganyane kwenye Ukristo hakuna TALAKA, kama kuna Askofu, Mchungaji au kiongozi yeyote anaruhusu watu kuachana na kuoa au kuolewa na wenza wengine, huyo anawakatia tiketi ya jehanamu kwa bei rahisi kabisa maana wanaishi maisha ya uzinzi, na wazinzi hawatauona ufalme wa Mungu, 1Kor 6:9-10.
 
Sasa kukusaidia wewe uliyeleta mada ni kwamba msamehe tu, hilo ni kosa kama makosa mengine. Kama ni mkristo tunatakiwa kusamehe saba mara sabini na wewe MSAMEHE tu maisha yasonge mbele ila kaa naye chini mwongee kwa kina na kujua tatizo ni nini hasa maana inwezekana ufumbuzi ni rahisi
 
Hii shida inatokana na wewe kukubalikuoa mwanamke aliyekeketwa hawa mara nyingi hawawezi kutembea na mtu mmoja!!!
 
Wewe acha upotoshaji kabisa, kwanza hapo umeandika mawazo yako na wala sio maandiko, kwa faida ya wengi ngoja ninukuu maandiko yenyewe ni Matayo 19:8-9, "Akwaambia, 'Musa Musa kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwapa ruhusa ya kuwaacha wake zenu, lakini tangu mwanzo haikuwa hivi. Nami nawaambia ninyi: Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini."

Yesu anasema Musa alitoa ruhusa kwa sababu watu walikuwa na mioyo migumu yaani walikuwa wanapenda kuoa na kuacha hata Musa akawaambia basi fanyeni mnayotaka wenyewe lakini sio kwamba ilikuwa ni mpango wa Mungu. Hata pale Yesu anaposema isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati hamaanishi kwamba kama umeoa mke kihalali basi akitembea nje ya ndoa basi unaruhusiwa kumwacha hapana. Kwanza ni muhimu kufahamu maana ya maneno haya mawili yaani UZINZI na UASHERATI. Uzinzi unahusisha watu walio katika ndoa, na uasherati unahusisha watu ambao hawajaoana.

Kwa hiyo, uasherati unaozungumziwa katika maandiko ni pale watu wanapokuwa wanaishi pamoja kwa uasherati yaani hawajafunga ndoa halali, maana yake hao ni mke na mume lakini kwa sababu ya uasherati, hivyo wanaweza kuachana tu, na wanapoachana kila mmoja anakuwa huru kuoa. Lakini kamwe si kwa yule ambaye ameoa au ameolewa katika ndoa halali.

Kwa hiyo, tusidanganyane kwenye Ukristo hakuna TALAKA, kama kuna Askofu, Mchungaji au kiongozi yeyote anaruhusu watu kuachana na kuoa au kuolewa na wenza wengine, huyo anawakatia tiketi ya jehanamu kwa bei rahisi kabisa maana wanaishi maisha ya uzinzi, na wazinzi hawatauona ufalme wa Mungu, 1Kor 6:9-10.

Mkuu umeandika maneno mengi ila sijaona tofauti yoyote kati yake na wewe sijui unampinga nini sasa kwani yeye kasema kuwa mke akizini kumuacha sio dhambi na wewe unamaanisha hivyo hivyo ila kama umependa kumsamehe you can go on kumpa msamaha
 
Dawa ni kumpiga chini. Sababu ni kwamba huwezi kusahau hiyo kitu,pia yeye hawezi kuacha kumegwa.
 
"...........anachofanya ni usaliti wa ndoa?"Mmmmmmh utamu uliomo kwenye haya mambo,binadamu wengi huja kukumbuka hizi sentence wakiishavaa nguo.God bless us out of this*?*
nakiri kuwa aibu na mateso yanayotokea kwa kuvunja makubaliona ya ndoa ukilinganisha na raha unayoipata baada ya kutoka nje ni vitu viwili tofauti kama mbingu na dunia!
Ninaona michango ya wadau hapa na naangalia hali halisi iliyopo ...laiti sote tungelielewa haya makosa kabla ya kuyafanya!
Huwa nasikia watu wakichukua maamuzi magumu ya kunywa hata sumu au kujiua na sikuwahi kujua ni nini hasa lakini sasa naanza kuuona huo mwanga

Samahani sana ninaomba niangalie upande wa pili jee wewe hujawahi kusaliti ndoa yako?[hata kama mkeo hajui lakini mungu ndiye shahidi] jee hypothetically angepata ushahidi kuwa ni kweli ulifanya usaliti angekubali kukusamehe?????
 
Tangu uzaliwe uliwahi kusikia au kuona Mwanamke ameolewa na Waume wawili? je umewahi kuona Mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja? ukijijibu swali hili ndio utaelewa ni kwa nini Mwanaume akisaliti ndoa yake ni rahisi kusamehewa lakini si mwanamke. na naomba usinipe hadithi za kufikirika za mfumo dume.
 
Kama na wewe toka muoane umeshatembeza nje ya ndoa basi mwache maana ngoma droooooo!!! Kama hujatembeza nje mhh mtihani huo. Tafakari mwenyewe hapa tutakuchanganya kama pilao.
 
Tangu uzaliwe uliwahi kusikia au kuona Mwanamke ameolewa na Waume wawili? je umewahi kuona Mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja? ukijijibu swali hili ndio utaelewa ni kwa nini Mwanaume akisaliti ndoa yake ni rahisi kusamehewa lakini si mwanamke. na naomba usinipe hadithi za kufikirika za mfumo dume.
Hapa issue ni kusamehe na siyo suala jingine na kama unataka twende utakavyo jee unafahamu kwa nini kafanya hivyo??? unajuaje pengine wewe ndiye chanzo cha usaliti wake??? ndiyo maana nasema suala kubwa hapa ni kusamehe au kutosamehe
 
Caa muhimu hapo atleast alitumia condom!!! binafsi nikigundua ndio mwisho wetu huo

kwa mtindo huo sikushauri hata uingie kwenye mahusiano, kwa kuwa uwe mwanamume au mke wote tunatoka sana nje sasa kama ukimfuma tu umefika mwisho basi jiandae kuacha weeengi tu, mbona hiyo ni kama 'study tour' tu unajaribu watu tofautitofauti upate ladha za kipekee na ujuzi mpya... maisha bila kusameheana hayaendi, pata picha hata sisi kama watoto wa MUNGU tuna mangapi ambayo tunakosea lakini anatusamehe na kuendelea kutuwekea ulinzi na baraka zake, asingesamehe nani angesimama hai leo?
 
Back
Top Bottom