Mke wangu katembea nje ya ndoa, nimsamehe?

Mkeo kufikia hatua ya kukiri kuwa amevuliwa kyupi na mwanamume mwingine inamaanisha kuwa uwezo wako wa kumvua kyupi umekwisha...!
 
Heshima mbele wana MMU,

Nami nimeona sio mbaya kupitia huku walau mara moja. Hoja yenyewe ni kama ilivyo:

Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe? Tumekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka sita na tumejaaliwa watoto wa kiume wawili.
For more:
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.ke
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.keView attachment 65970

Kwani mkeo anasemaje? umemuuliza au unamuacha tu?? labda mlitumia wote alisahau kuitupa.
 
Kwani imepungua utamu? NAWE UNAPOTUMIA CONDOM SI UNAKULA VYA WATU?
 
kama alibakwa nitamsamehe, lakini kama alivua mwenye chupi kwa hiyari, itakuwa ngumu kumsamehe kama ilivyo ngumu kwa ccm kushinda uchaguzi mkuu 2015!
 
Kwani mtu akikiri kosa tu anasamehewa???ndo maana siku hizi watu wanachezea ndoa kisa watasamehewa. Yaani utakuta na kondom ndani tena kaingiza mwanaume chumbani kwetu???Eti unakimbilia JF kuomba ushauri??? Sidhani kama wewe ni mwanaume uliyekamilika, unashindwa kufanya maamuzi???Unamuogopa???
 
Heshima mbele wana MMU,

Nami nimeona sio mbaya kupitia huku walau mara moja. Hoja yenyewe ni kama ilivyo:

Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe? Tumekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka sita na tumejaaliwa watoto wa kiume wawili.
For more:
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.ke
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.keView attachment 65970

Goodgirl!!katumia na kondomu kabisaa,basi msamehe maana anajua kujikinga lolest,cha kufanya mnunulie box la dume akae nalo
 
kama alibakwa nitamsamehe, lakini kama alivua mwenye chupi kwa hiyari, itakuwa ngumu kumsamehe kama ilivyo ngumu kwa ccm kushinda uchaguzi mkuu 2015!
Ha ha ha Mkuu inaelekea una allergy na hili dude mpaka huku kwenye MMU. Inaudhi sana lakini
 
Haya mambo yanaenda in cycles;watu wanafanya adultery,wanasamehewa. Halafu the problem gets worse. Watu wanafanya adultery,wanaadhibiwa vikali,then,there is outrage,''kwa nini,ang'olewe kucha mtu aliyefumaniwa?
Lakini,basically,in this case,retaliation kwa tendo hili ni demonic,as a rule of thumb,ni afadhali kusamehe,kuliko kuadhibu.
 
Sasa alitumia afu akasahau kuitupa au?

Na alimleta huyo mwanaume hapo nyumbani kwenu?

Mh......pole asee!
 
Kama wewe hujawahi kutoka hata kimatamanio tu FUKUZA SASA HIVI. BAADA YA HAPO NITUMIE NAMBA YAKO NITAKUTUMI HELA YA KUKUPONGEZA NA KUKUPA POLE. NA WEWE UTAKUWA NDOO MWANAUME WA KWANZA KUZIDIWA UZINZI NA MKEO. NIMEFANYA UTAFITI WA WAZINZI ZAIDI YA 75. WOTE WALIWAZIDI WAKE ZAO. NA UZINZI WA WAKE ZAO KWAZAIDI YA 80% ULICHANGIWA NA TABIA ZA WAUME ZAO.
 
huyo anakuchezea mind game tu "anataka ujilaumu kwa matatizo yake" kwa kuchezea gemu uwanja wa nyumbani na kuacha ushahidi na kukiri alipanga akuboe tu af umuache halafu baada ya hapo yeye aonekane hana kosa manake alikiri na kuomba msamaha.
anyway kuamua kumuacha au kutokumuacha inategemea sababu iliyomfanya acheat,kama humtoshelezi we muache tu wewe ni yuleyule leo na kesho kama hukumtosheleza leo huwezi kumtosheleza kesho
 
pole sana kaka..!kwanza jtafakari mwenyewe,kama na ww n unatoka nje jirekebshe kwanza mwenyew then msamehe mkeo na umkanye kiutu uzma kama n mwelewa atabadilika but changes beggins with you..!
 
Back
Top Bottom