Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,690
- 109,467
Watu wengine bwana!! ni kwa nini unaoa kama akili yako bado haijakomaa na hujui ni nini maana ya maamuzi magumu? yani hili nalo linahitaji Ushauri?
Kama wewe ni Mkristo soma hapa:
Mwalimu ( Yesu ) Musa alitufundisha kuhusu talaka je ni kwa vipi wewe unatufundisha kwamba aliyewaunganisha Mungu basi binadamu asiwatenganishe?
Mwalimu ( Yesu ) akawajibu, zamani haikuwa hivi ila kutokana na ugumu wa mioyo yenu ndio maana Musa aliwaruhusu kuwapa talaka wake zenu, basi na mimi nasema mtu na asimuache mke wake isipokuwa kwa kosa la uzinzi tu." Mwisho wa kunukuu.
Kama kuna mtu au padri wako au Mchungaji wako anakudanganya eti Wakristo hawana talaka pole sana. Kosa la uzinzi halina msamaha kamwe.