Mke wangu katembea nje ya ndoa, nimsamehe?

Heshima mbele wana MMU,

Nami nimeona sio mbaya kupitia huku walau mara moja. Hoja yenyewe ni kama ilivyo:

Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe? Tumekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka sita na tumejaaliwa watoto wa kiume wawili.
For more:
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.ke
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.keView attachment 65970
ni incidence imekukuta kweli au umeitoa kwenye hiyo link?manake ushauri unaweza kuwa tofauti kama hili halikuuhusu binafsi,ila katika yote sikiliza moyo wako,kama unaamini unamsamehe na uwe msamaha wa kweli toka moyoni na kwa vitendo sio unamsamehe huku unampa maadhabu ya kihisia kama unapanga kumsamehe hivi, ni bora usimsamehe!
 
na siku hizi mtu akigundua ni mke wa mtu anayemtafuna...lazima ALE NYUMA..........hehehe, pole wangu...ila dah, utakuta wife wako amepigwa back..ila Sir God alisema samehe mara 490 kwa siku.....kwa msio jua hesabu, yani saba mara sabini.........
 
umesema umekuta condom iliyotumika na ni kama mnayotumiaga, sasa ina maana kafanya mapenzi na mtu mwingine on the same bed that is dedicated for only you two? it is something i can not forgive!
 
mimi hata tukiwa kwenye ndoa kwa miaka 80 akitembea nje tu basi tunaachan. thats the big mistake ever

Sawia kabisa!

Kuna makosa ya kusameheka na mengine yasiyosameheka.

Hilo la kuzini kwangu halisameheki.

Kama kazini mara ya kwanza nini kitamfanya asizini tena safari ijayo?

Na kama safari ya kwanza kazini na umemsamehe, ni hadi azini mara ngapi ndipo ummwage?

Au idadi haijalishi na kinachojalisha ni yeye kuomba msamaha?
 
pamoja na kwamba kitendo alichofanya si kizuri, lazima kusameheana inawezekana na maisha yakaendelea kama zamani iwapo kweli samahani na msamaha vitatoka rohoni haswaa. LAKINI natatizwa na jambo moja, hiyo condom uliyoikuta ina maana alifanyia hapo hapo nyumbani kwenu mnakoishi? ( i mean matrimonial home)? kama jibu ni ndio hapo kwa kweli msamaha itakuwa ngumu maana si tu anatembea nje ya ndoa lakini pia anaidharau ndoa yenu, anakudharau kupindukia wewe mumewe na hata kuwafunza nini watoto /mnaokaa nao? hata kama ni wapangaji waone kabisa aingiza mwanamume unadhani ukirudi watakutazamaje? yaani amekuchora haswaa kakuacha uchiii!
 
ni incidence imekukuta kweli au umeitoa kwenye hiyo link?manake ushauri unaweza kuwa tofauti kama hili halikuuhusu binafsi,ila katika yote sikiliza moyo wako,kama unaamini unamsamehe na uwe msamaha wa kweli toka moyoni na kwa vitendo sio unamsamehe huku unampa maadhabu ya kihisia kama unapanga kumsamehe hivi, ni bora usimsamehe!
Mshikaji haikumkuta yeye, kaitoa kwenye link hiyo. Hata hivyo, link inasema kuwa alikuta condom tofauti na ile waliyozoea kutumia.
"My wife confessed to having cheated on me once while I was away. This was after I found used condoms of a brand I do not use. Should I forgive her? We have been married for more than six years and have two sons.

Dedan."
"
 
hivi ni kosa gani ambalo mkemme akifnya anafaa asamehewe au asisamehewe? kwangu mimi nikimfumania sioni haja ya kumsamehe, hata akisema ni mara ya kwanza. Hivi utajuaje kama siyo mchezo wake wa kila siku? inawezekana alikuwa ni jamvi la wapita njia bila ya wewe kujua, imekuwa ni bahati nzuri/mbaya tu Mungu kaamua kumuumbua ndio maana labda umemkamata. Hata akisemaumsamehe eti hatarudia ukweli ni kwamba ataendele kufanya ila tu ataongeza security level to maximum ili usimkamate tena! Thats all! Piga chini huyo!
 
Katika hili si vema kushauriana nini cha kufanya zaidi ya mtu kuangalia moyo wako unakuambia nini maana maumivu ya usaliti na namna ambavyo mnaishi mnajua wenyewe hivyo tafakari kwa kina na chukua hatua kulingana na unavyoona inafaa.
 
wanaume wakali kweli kusikia wake zao wanaliwa ila wao wanakula nje ile mbaya!!!mtoa mada msamehe mkeo alizidiwa kwakweli kwani ulikuwa safari muda gani na ni kwanini aache hiyo ndomu hapo ndani kwa kweli,je anaonekana ni mwenye tabia hizo? na kwanini amlete hapo ndani? au hiyo ndomu umeikuta wapi,nachukia sana wnawake ambao sio wajanja yaani careless,lakini kila crime lazima iache evidence hii ni principle
 
kwa wale tunaoamini kwamba mkioana mnakuwa mwili mmoja...inapokuja kwenye situation kama hizi naona hako kamsemo kanakuwa kagumu kuwa fact..
kwa mantiki hiyo ni kwamba mkuu mwenye mke na wewe umeliwa dah! sasa kama 0713 na yenyewe ilipigwa siku hiyo ndio balaah zaidi
 
Caa muhimu hapo atleast alitumia condom!!! binafsi nikigundua ndio mwisho wetu huo
 
Heshima mbele wana MMU,

Nami nimeona sio mbaya kupitia huku walau mara moja. Hoja yenyewe ni kama ilivyo:

Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe? Tumekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka sita na tumejaaliwa watoto wa kiume wawili.
For more:
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.ke
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.keView attachment 65970

According original story, used condom found is different brand from her husband using with her.

It seems that men have a much harder time moving on after their wives cheat on them. As a result, the question to ask is: “Why is it harder for men to get over a cheating wife than it is for women to get over cheating husbands?”
 
na siku hizi mtu akigundua ni mke wa mtu anayemtafuna...lazima ALE NYUMA..........hehehe, pole wangu...ila dah, utakuta wife wako amepigwa back..ila Sir God alisema samehe mara 490 kwa siku.....kwa msio jua hesabu, yani saba mara sabini.........
Duh....kwanini????
 
Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe?

Anakupenda....kakulinda!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom