Mke wangu katembea nje ya ndoa, nimsamehe?

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
Heshima mbele wana MMU,

Nami nimeona sio mbaya kupitia huku walau mara moja. Hoja yenyewe ni kama ilivyo:

Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta kondomu iliyotumika ambayo pia ndio aina ambayo huwa nami natumia. Nimsamehe? Tumekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka sita na tumejaaliwa watoto wa kiume wawili.
For more:
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.ke
My wife admitted cheating on me, should I forgive her? - DN2 - nation.co.ke fight.jpg
 
Wewe unaweza kuhamua mwenyewe maana una jua umuhimu wake kuliko sisi!

Lakini unatakiwa uhakikishe isije ikajirudia tena, jaribu kurekebisha mapungufu yaliyo sababisha yeye kuku cheat!

Japo alicho kifanya si kizuri lakini unaweza ukajihi mwenyewe! Siwezi ni kakwambia ingekuwa mimi ninge fanya nini.
 
Pole sana, msamehe ikiwa wewe pia ni binadamu maana shetaini kama huyo anaweza mpitia yeyete.

kwa nini huyu shetani ana singiziwa sana? Hata kwenye jambo la kusudi tuna sema shetani. Unafikiri alikuwa hajui kama ancho fanya ni usaliti wa ndoa?
 
Ili usiumie sana na wewe tembea nje......kwa nini utembee ndani tu bana
huyu bwana inaelekea huwa anafanya na ndio maana anasema alikuta zana iliyotumika inayofanana na za kwake.
Ila uzuri wote wametumia kinga. Mama kawa mkweli japo inawezekana alijua kuwa naye anafanyiwa hivyo kaamua kilipiza kiaina

 
Duh..... mtihani mwingine. Ina maana alimleta jamaa chumbani au tuseme kitandani kwako. Kwangu mimi Mke atembee nje ila nisisijue. Siku nikijua tena nikiwa na evidence sitaomba ushauri JF, kwa wazazi, kwa Mchungaji wa kwa marafiki, nitaamua mimi mwenyewe. Simply, nitachagua uhai kwa kuepuka kuletewa Ukimwi, nasisitiza Nitafanya maamuzi magumu....Babu yangu baada ya kushtuka kwamba Mkewe alikuwa anamsaliti miaka ya 1950's, He simply took a knife... alimwita mtoto wake mdogo wa miaka miwili (sasa ni Shangazi yetu wa miaka 58) "hebu lete kisu tuchinje Kuku" maskini binti wa watu hakujua kumbe Jogoo alikuwa ni Mama yake...Baada ya kupitisha visusi kadhaa tumboni na yeye alitafuta kamba akajinyonga for good. Msishangae ni mhehe na mke wake akaishi miaka 42 baada ya tukio hili.Ninahisi sitaweza kuvumilia....Naomba Mungu isije kunitokea....Balotelli alisema "Bila shaka nitapelekwa gerezani" kwa sababu sitaweza kuvumilia...back to the topic...Mkuu akili za kuambiwa changanya na zako... Nadhani uamuzi upo mikononi mwako, hapa JF tunapeana tu uzoefu, ila usisahau kutpatia feedback baada ya kufanya maamuzi
 
mimi hata tukiwa kwenye ndoa kwa miaka 80 akitembea nje tu basi tunaachan. thats the big mistake ever
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Back
Top Bottom