Mimi mke wangu hajawahi kwenda kokote, ila najua kabsa jilani yangu huwa anamto...a tu.
Tulia weweKicheko Cha kigaka hiki unambagaza mwamba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimepitia comment hapa naona mnamwambia et hata dar anaweza akachapiwa,, hapa naona mleta maada ameangalia ndoa yake kwa sababu mwanamke akienda huko mbali kunavitu mwanamke atavikosa ndo hapo sasa itabidi apate vya ziada hapo ndo picha litakapoanza
hata kama ni mtulivu kwa umbali huo atamegwa tu
cha kukushauli hilo la kushawishiwa na kumegwa lipo tudanganyane hakuna mwanamke mwenye msimamo kwa hili kulingana na madhingira sema anaweza akamegwa na asibadilike chochote na hapa mtamuita ana msimamo kumbe anamegwa kukidhi haja zake tu ila ndoa akaiheshim
na anaweza akamegwa abadilike tabia
Muache afanye kazi kama hofu yako ni kumegewa hilo weka100%
Mimalaya hiyo hakuna jina linalowafaa.kusema kwamba ni malaya tu ndio wanaoliwa baasii wake za watu wanaofanya kazi mbali na wenzi wao karibia wote malaya, mkuu wanapigwa wake za watu dom mpaka mungu hapend....
Kikubwa na cha msingi ifikirieni kesho yenu. Mmeshakuwa na mtoto/watoto means familia inaongezeka hivyo na mahitaji yanaongezeka pia.Habarini wana jamvi!
Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.
Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.
Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Nakushukru MkuuKikubwa na cha msingi ifikirieni kesho yenu. Mmeshakuwa na mtoto/watoto means familia inaongezeka hivyo na mahitaji yanaongezeka pia.
Yeye kukaa nyumbani na kukutegemea kwa kila kitu, ilihali ana elimu na ujuzi fulani sio jambo lenye afya kwenu. Kumbuka kuna leo na kesho, jiulize ukiondoka leo hii duniani unaiacha familia katika hali gani ?
Muache akafanye kazi huko wakati unahangaika kufanya taratibu za kumuamisha kuja Dar au kumtafutia kazi sehemu nyingine.
huu ndio ukweli ila weng watapingaMoja ya mistake utakuja kujuta Hadi unaingia kaburuni ni wewe kumruhusu mkeo akafanye KAZI mbali na wewe!
Usione watu tunakushauri Jua tumewahi kupigwa na kitu kizito. Tunajua what next kwako!
Narudia tena usimruhusu mkeo ahamie mkoa mwingine mbali na wewe.
Kama Una kichwa kigumu na ubishi mwingi mruhusu halafu baadae Tarajia yafuatayo;
1. Kutaka kuuana
2. Ndoa kuvunjika
3. Stress
4. Migogoro isiyokwisha
Kama uko tayari Kwa hayo matokeo mruhusu Ila kama hauko tayari Stop .
Mkuu haya mapenzi hayanaga formula ukiyakosea tu imekula kwako.[emoji23][emoji23]we jamaa
[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi mke wangu hajawahi kwenda kokote, ila najua kabsa jilani yangu huwa anamto...a tu.
Umeolewa weweHawezi kuripoti kazini nakuomba japo miezi miwili aweke sawa mambo yake kumuhusu mtoto aende na mama huko aliko ajiriwa na huko amtafute msichana wakazi akae naye asubuhi hadi ijioni . Akisharudi huyo dada anarudi kwao au kwake .
Au aende na ndugu yake wakike kama anaye au ndugu yako wakike kama unaye akae na mtoto kwa kipindi yupo kazini mpaka mtoto atakapoachishwa nyonyo.
Au kama hujaajiriwa basi nenda naye kaa huko hadi apate msichana wakazi mwaminifu halafu ndio urudi.
[emoji16][emoji16]View attachment 2359335hivi ndivyo atakavyofanywa
Kumbe wewe unapiga hadi route za Chicago halafu hutaki mwenzio aende Kagera hapo tu.Hapa penyewe nilipo nipo Ethiopia naenda zangu Chicago
Wanaume wabinafsi nyie[emoji16]Out of all the wishez, i wish you good bruhv!
Take it from me kama mkeo hakika unampenda usimuache akaenda huko Bukoba. Kama dhiki pambaneni nayo tu mkiwa pamoja Mungu atafanya wepesi ila usikubali utengano na mkeo sababu ya kazi.
Nakuhakikishia in 6 months time toka aondoke hakutakuwa na ndoa tena. Probability ya hilo kutokea ni 89%!
Hizo 11% nawaachia walimwengu...
Acha wife akapige kazi,hakuna mbali,kila sehemu inafikika kwa usafiri,ndio maisha ya kisasa,mtakuwa mnakutana wakati wa likizo.Habarini wana jamvi!
Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.
Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.
Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Sasa ukimzuia akabaki, kesho wewe umekufa, nani ataendelea kutunza huyo mtoto km atakuwa mama wa nyumbani?Si kwamba siwezi manage, anapata kila kitu kwangu ni vile tu anapenda kufanya kazi, hataki zile za “subiri mume kaenda kutafuta”
Kwanza hongera kwa kupatka kazi Mkeo. Awamu ya tano ilivunja ndoto za watu wengi si wewe tu hata watoto wetu na wapwa zetu pia.Habarini wana jamvi!
Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.
Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.
Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.