Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,605
- 5,185
Kabisa Mkuu, na ndio sababu ya mkewe kuhangaika kuitafuta hiyo kazi kwa muda mrefu. Acha akatombewe huko ili akili imkae vizuri. Naunga mkono hoja.Just use common sense kama ndani ya miaka 5 hakuwahi kumtafutia alternative ndo leo ataweza kisa mke kapata kazi?
Huyu anajisemesha hapa tu kuwa anampa kila kitu ila hamna lolote. Nivile tu chakula kipo wanakula ila sio kwamba anamtimizia nguo nzuri, kusuka vizuri, kumpa vijipeaa vya kuwatumia wazazi wake.
Kama angelikuw anamtimizia asingehangaika kutafuta kazi.
Pipo think twice twice 🤣🤣🤣🤣🤣

