Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Fimbo ya mbali haiu nyoka wahenga walisema,hakuna ndio ya wanandoa wanaoishi mbali-hakuta kuwa na mapenzi tena.
Mwisho wa siku mtaachans tu au utaambukia magonjwa ama kifo.
 
Angalia kama unaweza kuulipa huo mshahara anaoupata mwisho wa mwezi, basi mwache akae tu.

Ila kama huwezi na unaona umuhimu wa hio kazi unauona,

let her go to work...

Halafu kama wasiwasi wako ni kuchapiwa, kumbuka hata hapo ulipo bado kuna nafasi ya kuchapiwa.

kama tatizo ni distance, angalia namna ya kuhamia BK kule mkaishi kwa kula ndizi na senene.

mwisho kabisa,
mkeo akienda huko atachukua.miezi 6 tu akirudi atakua analoanisha godoro balaa😂😂😂
Vyakula vya wahaya vinatengeneza maji mengi sana mwilini
Mshahara anaoufuata I think ni 1.5m hivi, though ni unconfirmed. Lkn I can afford her needs and my family, ni vile tu naiona push ya ndg zake pia, si unawajua wabongo, kwamba walimsomesha so they expect ahudumie pia, mim sina neno sana na hilo ila Distance… It is too far away from home. Na bad enough ni kazi za private hata hawana branch maeneo ya karibu!
 
Mimi bado sijaoa ila amini nachokwambia...mkuu..😀😀😀
Okey boss. Mm nimeoa muda sasa na huyu mzee mwanzangu nilimuoa akiwa mwajiriwa na sasa mfanya biashara muda tu sijawahi pata mapicha picha ila ningeyapata ningerekebisha makosa ya kuoa malaya.
 
Mwanamke anajichunga mwenyewe,mwache aende,hiyo ni mipango ya MUNGU kumpima kama ni mwaminifu kwako akiwa mbali,kubali aende sasa na wewe ufanye kama kipimo juu ya mapenzi yenu
Unampimaje MTU ambaye hata biblia imishs kuambia ni dhaifu,Wanawake wote Duniani ni dhaifu
 
Mshahara anaoufuata I think ni 1.5m hivi, though ni unconfirmed. Lkn I can afford her needs and my family, ni vile tu naiona push ya ndg zake pia, si unawajua wabongo, kwamba walimsomesha so they expect ahudumie pia, mim sina neno sana na hilo ila Distance… It is too far away from home. Na bad enough ni kazi za private hata hawana branch maeneo ya karibu!

Mke wako alafu anadaiwa na ndugu?? Walikuazima walikuozesha? Msiruhusu watu waingilie ndoa zenu jamani
 
Mshahara anaoufuata I think ni 1.5m hivi, though ni unconfirmed. Lkn I can afford her needs and my family, ni vile tu naiona push ya ndg zake pia, si unawajua wabongo, kwamba walimsomesha so they expect ahudumie pia, mim sina neno sana na hilo ila Distance… It is too far away from home. Na bad enough ni kazi za private hata hawana branch maeneo ya karibu!

Never let that happen mkuu for the sake of your family
 
Kama akienda mkoani,
Mkeo Anaweza hata asigongwe akijitunza,

Ila jiandae sana kisaikolilojia ndoa yako kutetereka kama sio kuvunjika kabisa.

Vitu Kama heshima,mamlaka na utii juu yako vitahamia kwa boss wake/kazi yake.

Hapa ndo utaanza kuona kiburi,jeuri,dharau mambo Kama hayo.
Usipokubaliana nayo, ataomba talaka Maana uwezo wa kuishi bila wewe anao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mke aende bwana...msije anza nuniana bure ndani ya nyumba. Mwanamke kugegedwa hilo wala lisikule presha sana...afterall ndio raha ya dunnia wacha na wengine waonje mautam ya wife🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu, cha kwanza humu ndani mtandaoni tunasapoti kuachana na kupigana matokeo.
Pili, ndoa haijafika miaka 10 tayar mnaenda mbali? Hili hua sio jambo zuri.
Tatu, wewe ndo umeoa, sio ndugu zake, jifunze kua na maamuzi juu ya familia yako. Kama wa kwao walitaka iwe tofauti wangebaki nae.
Nne, kaa chini muelekeze kua hata angelipwa milioni 10 yafaa nin kama akiipiteza familia?
Tano, huo mshahara n mkubwa, hata asipogongwa possibility ya madharau n kubwa maana hyo distance yenu ni kubwa sana, na wewe pia unaeza jikuta unakula digidigi.
Mwisho, subiri Liverpool VPN aje akupe muongozo kuhusu wafanyakaz wanaofanya kazi mbali na waume zao.
Kila la kheri kwenye maamuz yako
 
Mshahara anaoufuata I think ni 1.5m hivi, though ni unconfirmed. Lkn I can afford her needs and my family, ni vile tu naiona push ya ndg zake pia, si unawajua wabongo, kwamba walimsomesha so they expect ahudumie pia, mim sina neno sana na hilo ila Distance… It is too far away from home. Na bad enough ni kazi za private hata hawana branch maeneo ya karibu!
Njoo pm tujadiliane zaidi.
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Mwanaume kuchaoiwa ni siri ya ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom