Fredinho
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 971
- 1,161
Busara ni mtizamo tu wa mtu,unachokiona busara kwako kinaweza kuwa utumbo kwa mwingine.No busara within......

And here we go. Mafurushi mengine.
Haaa haaaa haaaSuluhisho ni kumpa stress za kutosha,anza kurudi nyumbani saa sita usiku na ukifika home we chati jamii forums mpaka saa tisa usiku,kila mboga mgombeze ina chumvi nyingi,akiandaa breakfast mwambie unawahi kazini,zusha safari za kikazi kila wiki,then mkatalie katakata asiguse simu yako,baada ya miezi miwili njoo utupe mrejesho
Kama ulioa tako na hips pole sana.Salaam wanajamvi,
Nimeishi kwenye ndoa miaka mitano sasa changamoto kubwa mke wangu amebadilika sana sio yule wa enzi zile.
Alikuwa mnene wastani, na kila kiungo cha mwili wake kilionekana kipo vizuri hapa namaanisha shape lakini sasa amepoteza muonekano wake amenenepa hovyo tumbo limekua kubwa kuliko makalio.
Kifupi amepoteza mvuto mbele ya macho yangu, nimejaribu kumsisitiza na kumueleza madhara ya unene amejitahidi lakini hapungui! Yaani shapeless sina hamu nae tena na ana mtoto wangu.
Wana JF nisaidieni kwa ushauri kijana mwenzenu.
Nimekupenda bureee...ushauriSi umemzalisha ulitegemea abaki vile vile apo utataka ushauri uambiwe mwache, uyo ni mkeo uliyefunga nae ndoa vumilia tu acha hzo tamaa

duuuuuh ahsante ndugu hali tetepole sana kwa majaribu.
![]()
![]()
![]()
![]()
..Haya mwache sasa,maana ndo unataka tukuambie HivyoSalaam wanajamvi,
Nimeishi kwenye ndoa miaka mitano sasa changamoto kubwa mke wangu amebadilika sana sio yule wa enzi zile.
Alikuwa mnene wastani, na kila kiungo cha mwili wake kilionekana kipo vizuri hapa namaanisha shape lakini sasa amepoteza muonekano wake amenenepa hovyo tumbo limekua kubwa kuliko makalio.
Kifupi amepoteza mvuto mbele ya macho yangu, nimejaribu kumsisitiza na kumueleza madhara ya unene amejitahidi lakini hapungui! Yaani shapeless sina hamu nae tena na ana mtoto wangu.
Wana JF nisaidieni kwa ushauri kijana mwenzenu.
Salaam wanajamvi,