Mke wangu kabadilika kimuonekano

Mke wangu kabadilika kimuonekano

Mpeleke gym mkuu au mpigishe mazoez, pia aanze diet ila yote hayo yatafanikiwa kama atauchukia unene.
 
That means ulimuoa kwa sababu ya muonekano wake,Na hukuangalia kusudi lako la kuoa.... aisee utapata shida sana kama ulioa shape, sura,mguu wa bia n.k ulimuona she is ur Mrs right wacha ukae nae hivo hivo ili iwe fundisho kwa wanaooa physical appearance. Pouleeee
 
Aache kutumia vidonge vya majira kwani vina tabia ya kuwanenepesha sana baadhi ya wanawake na kuharibu maumbile yao. Tumia njia kalenda kupanga uzazi au yeyote ile ya kiasili .
Tatizo kubwa la utumiaji wa vidonge vya majira kwa TZ ni kwamba akina dada/mama wanapewa vidonge bila (mara nyingi) ya kupimwa na kuangaliwa hormones zao. Kwa wenzetu upimwa kwanza na kupewa vidonge vitakavyoendana na hormones za mwili wake. Ndiyo maana unakuta binti toka akiwa na miaka 13 anatumia hivyo vidonge na wala hanenepi.

Ingawa lifestyle nayo inachangania sana kwa TZ: kutofanya mazoezi na kula hovyo hovyo.
 
Mfanyie visa umfuke aende kwao akae na mawazo akonde halafu badaye mfate kisha mweleze tatzo naamini hatonenepa tena atakuwa care kweli.
 
Hii ni changamoto kwa wanawake wengi, haswa ukizingatia life style zetu.

Nenda nae taratibu, azingatie mazoezi na discipline katika ulaji.
It ll take time tho, kuwa mvumilivu.
Ila wanawake wengi nao kwakweli wanajiendekeza kwa kisingizio cha uzazi, yani mtu anajiaachiaa anakua kama kiroba cha Unga
 
Aache kutumia vidonge vya majira kwani vina tabia ya kuwanenepesha sana baadhi ya wanawake na kuharibu maumbile yao. Tumia njia kalenda kupanga uzazi au yeyote ile ya kiasili .
well said
 
Hahaaaaaa!! Ni kweli lakini.
Mwingine nae juzi nimemsikia anasema "yani nitoke out niwaache wanangu nyumbani" mmh kwa mitazamo hii ina maana watoto wanakujaga kuharibu, make ukakuta hapo baada ya kuzaa ndo madira kila siku, mwili ndo huo tumbo mgongo tako vimeshikana, outing na mme hakuna ha ha ha I want to be forever young kwakweli
 
Ni kweli ukishazaa kuna mambo hubadilika ila isiwe ndio kisingizio cha kila kitu.
 
Ukimpenda mwanamke umbo kuna siku litabadilika, ukimpenda ngozi kuna siku itachoka na kusinyaa, ukimpenda sura kuna sura yake itapoteza mvuto.
 
Naungana na wachangiaji wengi. Kubadilika shape is a must to most African women specifically Tanzanians
 
Umenikumbusha mbali sana .
Niwahi omba ushauri wa kupunguza kitambi jamaa wakanijibu we acha kazi tu.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom