Tengelimale
Member
- May 3, 2016
- 30
- 11
I dont agree with stressing her but jaribu kwenda nae mazoezi na apunguze kula.
Anaweza kuta anasaidiwaSuluhisho ni kumpa stress za kutosha,anza kurudi nyumbani saa sita usiku na ukifika home we chati jamii forums mpaka saa tisa usiku,kila mboga mgombeze ina chumvi nyingi,akiandaa breakfast mwambie unawahi kazini,zusha safari za kikazi kila wiki,then mkatalie katakata asiguse simu yako,baada ya miezi miwili njoo utupe mrejesho
Jamani hili zoezi nimelipenda. .Ujue we ndo tatizo na sio mke wanaume wengi mnashindwa kujua kuwa zoezi pekee la mke kutonenepa hovyo hovyo ni kufika kileleni kila mnapo duh
Usipohakikisha hilo biological mechanisms za fat deposition zitakuwa nyingi mno hivyo humsababishia kunenepeana bila mpangilio ukiwa unamkuna mpaka orgasms kama 2-3au hata 4 lzm nguvu inayotoka kumfanya afike kilindini mafuta yachomwe moto hivyo unamfanya amentain figure
Hyo huwa ni constant term.Kwani naniliu nayo imebadilika au haipo?
Na kumletea mwenzieHuo ni unene tu ushamchoka! Vp akipata ulemavu wa kiungo hata kimoja? Nahisi utamtengea chumba chake
duu kumbeUjue we ndo tatizo na sio mke wanaume wengi mnashindwa kujua kuwa zoezi pekee la mke kutonenepa hovyo hovyo ni kufika kileleni kila mnapo duh
Usipohakikisha hilo biological mechanisms za fat deposition zitakuwa nyingi mno hivyo humsababishia kunenepeana bila mpangilio ukiwa unamkuna mpaka orgasms kama 2-3au hata 4 lzm nguvu inayotoka kumfanya afike kilindini mafuta yachomwe moto hivyo unamfanya amentain figure
umenena vyema kabisa, kula likes zangu mkuu. ila angalizo, asije oa skeleton ibakie kuwa skeleton atajuta.hao ndiyo wanawake wengi mkuu? hao ni wachache mno ukilinganisha na ambao shep zimeharibika.
cha msingi ni kwamba shepu halisi ya mwanamke unaipata baada ya kuwa amezaa, ile tunayoiona wakati wa usichana wao na ambayo ndio inayotupelekea tuwaoe baada ya muda mfupi inabadilika pale tunapokuwa tumewazalisha.
Na ndiyo hapo tunapowachukia wake zetu na kuwachoka mapema wakati bado tuna safari ndefu ya kuendelea kuishi nao.
Kwa ambao hawajaoa bado ni bora ukaoa mwanamke skeleton kabisa kama na wewe ni miongoni mwa wanaopenda wanawake wembamba ili pale anapozaa afikie kiwango chako kwani ataongezeka tu.
na mleta mada mvumilie mkeo, mfanyishe diet na mazoezi ya kukata tumbo.
wewe jamaa unashangaza sanaKuzaa siyo hoja,usipotoshe umma please!!.......Mbona wanawake kibao kama vile akina Zamaradi,Zarie,Angelina jolie na wengine wamezaa watoto wengi tu ila wana shape kali???........Hoja hapa ni kula ovyo,uvivu wa kufanya mazoezi na kutokujipenda!
Mkuu umefufuka?ulikuwa wapi?wewe jamaa unashangaza sana
nilipelekwa Darfur mkuu na uongozi wa JF ndio nimerudiMkuu umefufuka?ulikuwa wapi?