Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Inategemea na mwili kama ww kibonge ni kibonge tu ata ujinyime kula vpKuzaa siyo hoja,usipotoshe umma please!!.......Mbona wanawake kibao kama vile akina Zamaradi,Zarie,Angelina jolie na wengine wamezaa watoto wengi tu ila wana shape kali???........Hoja hapa ni kula ovyo,uvivu wa kufanya mazoezi na kutokujipenda!