Hiyo ndio shida ya kuoa mtu KISA SHAPE au SURA.
Sura inabadilika, hata isipobadilika macho yana tabia ya kuzoea kitu so with time utamzoea tu na kumuona wa kawaida.
Shape pia inabadilika....
Ila ukioa mwanamke mzuri wa mwenendo na tabia njema pamoja na roho na moyo mzuri.... That NEVER FADE
Ujue we ndo tatizo na sio mke wanaume wengi mnashindwa kujua kuwa zoezi pekee la mke kutonenepa hovyo hovyo ni kufika kileleni kila mnapo duh
Usipohakikisha hilo biological mechanisms za fat deposition zitakuwa nyingi mno hivyo humsababishia kunenepeana bila mpangilio ukiwa unamkuna mpaka orgasms kama 2-3au hata 4 lzm nguvu inayotoka kumfanya afike kilindini mafuta yachomwe moto hivyo unamfanya amentain figure
Eti kwamba tumbo limekula makalio hahahaMvumilie tu we we umkongoroshe sasa umuone hafai. Muimize afanye mazoezi ya kukata tumbo mana tumbo likizidi humeza kalio kabisa.
No busara within......Suluhisho ni kumpa stress za kutosha,anza kurudi nyumbani saa sita usiku na ukifika home we chati jamii forums mpaka saa tisa usiku,kila mboga mgombeze ina chumvi nyingi,akiandaa breakfast mwambie unawahi kazini,zusha safari za kikazi kila wiki,then mkatalie katakata asiguse simu yako,baada ya miezi miwili njoo utupe mrejesho
Zoezi la kitandani ni starehe bana sidhani kama itasaidiaMbona rahisi tu; pale 6 kwa 6 mkiwa kwenye tendo mpe style ngumu kila siku.
Hayo ni mazoezi tosha kabisa
Hapana hatamtenga atamkimbia kabisa ahame na mji na abadilishe namba za cmuHuo ni unene tu ushamchoka! Vp akipata ulemavu wa kiungo hata kimoja? Nahisi utamtengea chumba chake
Hiyo ni mifano michache nimetoa,sina muda wala space ya kutaja wote!......Ninachomaanisha ni kuwa suala la mwanamke kuwa na figure mbaya baada ya kuzaa siyo suala la nature bali ni suala la kujitakia!hao ndiyo wanawake wengi mkuu? hao ni wachache mno ukilinganisha na ambao shep zimeharibika.
cha msingi ni kwamba shepu halisi ya mwanamke unaipata baada ya kuwa amezaa, ile tunayoiona wakati wa usichana wao na ambayo ndio inayotupelekea tuwaoe baada ya muda mfupi inabadilika pale tunapokuwa tumewazalisha.
Na ndiyo hapo tunapowachukia wake zetu na kuwachoka mapema wakati bado tuna safari ndefu ya kuendelea kuishi nao.
Kwa ambao hawajaoa bado ni bora ukaoa mwanamke skeleton kabisa kama na wewe ni miongoni mwa wanaopenda wanawake wembamba ili pale anapozaa afikie kiwango chako kwani ataongezeka tu.
na mleta mada mvumilie mkeo, mfanyishe diet na mazoezi ya kukata tumbo.
Ndio wavulana wetu hawa!Jambo dogo unalileta Jf ungeambimbiwa Anachepuka jee..??